NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Asante mkuuDrogba anamsubiria huyu jamaa wapige kazi vizuri.
Hongera kwa kumpata mkuu.
Asante mkuuDrogba anamsubiria huyu jamaa wapige kazi vizuri.
Hongera kwa kumpata mkuu.
Una nyota nzuri term hii 😃😃Ndiyo nimempata leo😃
Mali ipo vizuri. Sahizi sina coins ila angekuwa hole player ningeangalia namna ya kumpata
Urefu 189 alafu heading 63 what a loss😭
Nimeghairi hiyo pack wachezaji wake hawajanishawishi.Mali ipo vizuri. Sahizi sina coins ila angekuwa hole player ningeangalia namna ya kumpata
Palmer na vichwa wapi na wapi mkuu 😂.Urefu 189 alafu heading 63 what a loss😭
Sasa si mrefu kaka 😃😃Palmer na vichwa wapi na wapi mkuu 😂.
Urefu usio na faida 😂Sasa si mrefu kaka 😃😃
Wamenipa Gapko leo ngoja angojee English clubs team ndo atachezaUrefu usio na faida 😂
Edo kissyCup yetu imefikia wapi
Na kwako pia mkuu😃😃
😃😃😃Omba awe defensive maana konami hawachelewi kumpa offensive 😃😃View attachment 3326645
Wasimtie booster halafu afike 100, nitakuwa nikiingia uwanjani na Selikavu namuanzisha 😂.
Idumu haram football idumu😃Ila haram Football ni hatare naomba tu niishike vizuri..
Game ya kwanza nimejikuta naenda toe toe na huyu jamaa kanipiga tano😃nunge na bila shoot hata moja
View attachment 3326692
Game ya pili nimeingia tena hvyo hivyo jamaa akanipiga nne kipind cha kwanza 😃😃😃nikasema imeisha hapa nizuie tuu
Nikaanza haram Football kilichotokea🙌jamaa hajaamini kabisa na kikosi chake cha 3150View attachment 3326694
Nilichogundua uwanjani kazi yangu ni kukaba tuu basi😃😃na kuongojea nafasi mpira mzuri nauacha😃😃
Kaka huyu si ndio mimi mbona nimepigika kipigo kitakatifu hivyo😅🙌Ila haram Football ni hatare naomba tu niishike vizuri..
Game ya kwanza nimejikuta naenda toe toe na huyu jamaa kanipiga tano😃nunge na bila shoot hata moja
View attachment 3326692
Game ya pili nimeingia tena hvyo hivyo jamaa akanipiga nne kipind cha kwanza 😃😃😃nikasema imeisha hapa nizuie tuu
Nikaanza haram Football kilichotokea🙌jamaa hajaamini kabisa na kikosi chake cha 3150View attachment 3326694
Nilichogundua uwanjani kazi yangu ni kukaba tuu basi😃😃na kuongojea nafasi mpira mzuri nauacha😃😃
Idumu😃😃😃Idumu haram football idumu😃