Okay kauli mbiu ni matokeo bila picha ni Uzushi😃😃
Siku ya jana nilianza na
Mr Devil
Tokeo ni kama hili hapa
View attachment 3324421
Leo nikacheza na Master of Haram Football...
NEGAN
Usipocheza Haram Football hapa hutoboi😃😃maana hata magoli yenyewe nimefunga ya papatu papatu
View attachment 3324423
Baadae nikaja kwenye mtani wangu wa siku zote wewe hapo
Kijana wa Gasperini mwenyewe
Nilisema mchezo wangu na wako smart assist ndo inanifanya kila siku nastruggle leo nikawasha and nilikuwa nangojea moment hii😃😃😃
Hii match imekuuma mno😃😃😃ila ndo hvyo kaka pole
View attachment 3324428
Nyingine hizi hapa
View attachment 3324429View attachment 3324430View attachment 3324431
View attachment 3324427
Ila ukwel game zako leo tumesumbuana hata kama nimeshinda nimehangaika sana na Drogba wako
Eniwei sijalipa kisasi bado unaongoza ulishanipiga sita hicho siwezi kulipa🙌🔥
Nilud sasa kucheza kawaida niachane na smart assist