Mikasa ya hapa na pale imenikuta asubuhi hii ila hatimae nimetoa gundu la dvn 3.
Konami wakaniletea hiki kiumbe kwenye mechi ya mwisho.
👇
View attachment 3324976
Nilikuwa sielewi naanzaje kupata ushindi ila kufika dakika ya 70+ kijana mdogo akapiga outside curl mpaka nikashituka maana mechi ya maamuzi halafu unapiga goli tamu la nje ya box.
👇
View attachment 3324977
Akafanya dakika 90 kukamilika kwa ushindi muhimu wa goli 0-1.
👇
View attachment 3324978
Ushindi uliofanya kufikisha alama zinazohitajika ili kufika dvn 2.
👇
View attachment 3324979
Na hatimae nikatangazwa kuwa ni miongoni mwa wanafamilia wa dvn 2.
👇
View attachment 3324981
Ila huyu jamaa amejua kuwanyoosha nahisi waliyekutana na mimi nikicheza harram football wanasimulia ubaya wake 😂.
👇
View attachment 3324982
Ahsante harram football 😂.
Jini katoka ila mganga kalazwa ICU 😂.