Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,480
- 78,729
hii ni zaidi ya furaha..au wewe unasemje?
Halafu haya mabonge mabonge ya wastani jamaa huwa anayapenda kweli![/QUOTE
Mh!haiyah.
Bonge ametulia sana huyo babuu!!Naona kuna jamaa kwa mbaaali... anakula kwa macho.
Mimi naona baba rizzz angemchukua huyo mwingine. Ametulia kuliko huyo bonge.
Halafu haya mabonge mabonge ya wastani jamaa huwa anayapenda kweli!
Raisi tunaye..he is best ever!
Ni kama anauliza kwa utani........."Hivi Mwamvita hawa watoto wazuri huwa mnawatoa wapi?"
halafu anaendelea............................................."Ikulu tunawahitaji hawa kuimarisha mahusiano ya kijamii"