eeh Mr President umemfanya nn huyu binti?

eeh Mr President umemfanya nn huyu binti?

Unatakiwa upewe kazi ya kutafsiri picha ndugu, kama ulikuwepo!!!!!!!!!!!!
 
Ni kama mkwe re anamuuliza binti makamba 'je, hii siyo size yangu?'
 
Huyo ndio charming JMK anaeweza kukufaya u feel comfortable wakati wowote, kamgusa panapotakiwa, la sivyo, ni waganga njaa hao wanajishebedua na kukengeuka labda wataalikwa kwenye dinner! Na jamaa enzi zake alikuwa mkali, siku hizi Mwenyeezi Mungu kamhidi na nasikia ni wa Hamsa Swalaat. Mungu amzidishie.

FF ulishawahi kukutana na Rais na akakukufaya u feel comfortable?
 
Hivi unajisikiaje nilivyokubana huu mkono?????????
 
Ni binadamu tu kama binadamu wengine, kuna wakati pia na yeye anahitaji kufurahi na kutaniana na watu kama walio wengi wetu wanavyofanya. Sioni tatizo kwa hilo ....
 
Back
Top Bottom