eeh Mr President umemfanya nn huyu binti?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,428
78,586
hii ni zaidi ya furaha..au wewe unasemje?
 
Attachments

  • 004.FURAHIA.jpg
    004.FURAHIA.jpg
    39 KB · Views: 1,225
Ni kama anauliza kwa utani........."Hivi Mwamvita hawa watoto wazuri huwa mnawatoa wapi?"

halafu anaendelea............................................."Ikulu tunawahitaji hawa kuimarisha mahusiano ya kijamii"
 
Huyo ndio charming JMK anaeweza kukufaya u feel comfortable wakati wowote, kamgusa panapotakiwa, la sivyo, ni waganga njaa hao wanajishebedua na kukengeuka labda wataalikwa kwenye dinner! Na jamaa enzi zake alikuwa mkali, siku hizi Mwenyeezi Mungu kamhidi na nasikia ni wa Hamsa Swalaat. Mungu amzidishie.
 
Naona kuna jamaa kwa mbaaali... anakula kwa macho.

Mimi naona baba rizzz angemchukua huyo mwingine. Ametulia kuliko huyo bonge.
 
Naona kuna jamaa kwa mbaaali... anakula kwa macho.

Mimi naona baba rizzz angemchukua huyo mwingine. Ametulia kuliko huyo bonge.
Bonge ametulia sana huyo babuu!!
Minyamanyama mi huwa naizimia sana.
 
kwa hili huwa namhesihmu na kumpenda rais wetu. hana maringo anawajali watu wote.
 
Ni kama anauliza kwa utani........."Hivi Mwamvita hawa watoto wazuri huwa mnawatoa wapi?"

halafu anaendelea............................................."Ikulu tunawahitaji hawa kuimarisha mahusiano ya kijamii"

Mzee umenifurahisha, umeipa picha maneno ambayo nadhani hayako mbali na ukweli kabisa! Kwa binti alivyokubali..
 
Back
Top Bottom