Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Ajipumzikie tu, hata afya yake anaonekana haiko njema sana
Teamlowasa mtapata ugonjwa wa Moyo.
Kkkkkkkkk. Leo unakana mpk maneno ya Gwajima?
Umesahau nini alikisema alipokuwa kwenye kile kiti cha walemavu baada ya Kujizimisha pale Polisi sio?
Mtakiona mwaka huu! Utapeli mwisho wake mbaya.
Fuatilia mkutano wa Arusha mamvi akitangaza nia, Gwajima alisema hivyo na kuongeza kuwa asiyemtaka Lowasa akale malimau
Hakuna cha Ukawa wala Ukewe! Kwendeni huko hapa ni ccm pekeeee wengine watabaki kuwa wasindikizaji kama ilivyo ada
Atakua anakula malimao ya Gwajima.
Mkuu pitia tena. Wameandika mpambe wa mgombea kinara azimiaGazeti la Dira~ Mgombea kinara azimia.
Hahahahaa amka ewe usinzieaeee ufufuke katika kuota ndotooo hahaaaa.hii weekend ya Leo rahaaa jamaniii hahaaaTeam Lowasa..safari ya matumain inaendelea,maamzi magumu yapo palepale.
hii ni laana ya nyerere....alishamwambia huwezi kuwa...na hata kama angepewa angeishia njianihii itakuwa ajali ya pili ya kisiasa......
Kumbe watu wengine huwa wanaamini mazingaombwe!! nani alikwambia ni chaguo la watu? mafuriko uliyokuwa unayaona ilikuwa ni projekti ya muvi iliyoanza kutengenezwa miaka kadhaa huko nyuma. Hatuwezi kuishi kwa kuamini mambo tunayoona katika bongo movie. Nitakubaliana na wewe ukisema lowassa ni mtengeneza muvi za kisiasa bora. Ukawa hawahitaji mtu wa aina hiyo. Pengine ana-fit act.Yaaani..lowassa n chaguo la wananchi bora aende ukawaaaa au act jamanii
Atakua amelala muda huu.
Watu wana majungu
Eti lowasa
Katumia pesa kibao kuutafuta Urais halafu pen ya mia mbili tu imemkata
politics is either you win or loose, kwahiyo hakuna cha ajabu kuanguka kwenye siasa
Mfano mzuri ni wa Raila Jaramongi Oginga Odinga ameanguka mara ngapi na amesimama mara ngapi.
Tanzania bado tunajifunza siasa na ndio maana tuna mijadala ya kitoto.