Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Hahahahahaahha mlijitahidi kuja kwa mbwembwe sasa mmeona Tsunami ilosambaratisha mbwembwe zenu eeenh? Next time nawashauri mpunguze mbwembwe na msidhani fedha ndo kila sehemu inapenya, sehemu nyingine zinafeli kama zilivyofeli kwenu, oneni sasa mzee wenu alivyomwaga fweza lukuki kila kona kuhonga ilimradi apite, kaambulia kufuatwa na watu tu kila kona ya nchi lkn kapewa Total Ban, naamini huko alipo haamini kilomtokea lkn ndo basi tena, sisi hatununuliwi kwa hela zake yeye sasa akanywe supu na hizo hela zake pamoja na wale wanaomfata kama inzi. Hahahaha pole mzee Lowahaswa! Kubali matokeo Welcome again!

siwaoni wako wapi MUSSA ALLAN Ritz Lizaboni MR.PRESIDENT TeamLowassa mpoooooooo???
 
Last edited by a moderator:
Atakua amelala muda huu.
Watu wana majungu

Eti lowasa
Katumia pesa kibao kuutafuta Urais halafu pen ya mia mbili tu imemkata

!A ha ha !a ha ha.......Mkuu nimecheka sana pen ya miambili imemto mtu mzima nishai.
 
huu ndio ukweli.

akina Kingunge sijui wanatamani kufa kwa aibu na uoga wa maisha, Hamis Mgeja na wenzake, akina Nchimbi , Lugola, Simba na wengine weng waliojiandaa kuimaliza nchi.

akina Bashe, Rostam, Karamag, Chenge etc

sema naona baadhi ya Mafisad wanavyoenda kujiunga na akina Mramba muda si mrefu

Hapo ongeza Gwajima maana aliahidiwa kupewa kiwanja cha Tanganyika Packers
 
Karibu UKAWA mh Lowasa! Lengo ni kung'oa chama chakavu, haijalishi silaha zitumikazo.
 
Back
Top Bottom