Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Mabilion yameteketea kwa output sifuri.Safi sana
 
yale malimao waliomwambia gwajima atulishe sisi ndo wanakula wao hahahahahahahah wanaona aibu kwa yalio wasibuuuu walijua kila sehemu ela inatumika kumbe kuna sehemu ela aifanyi kazi mfano kuwa na maconteiner ya fedha alafu upate ugonjwa lazima atafutwe doctor c ela inayokutibu ni doctor sasa doctor kagoma na mgonjwa anakufa .
 
Hahahaaa mimi najiuliza waliolipiwa hotel Dodoma
na kuahidiwa nauli
unaweza kukuta now wanatafutana kuulizana nauli
 
Ni Mapema Mno Tem Lowasa Kuwaona Hum Maana Wengine Wanazimia Wengine Wanawauguza Waliozimia
 
Itakapofika October ndio utakumbuka haya
10400051_1424756097851153_7644637589306271179_n.jpg
11295912_1424756251184471_3016837221192238416_n.jpg

11165274_1422311258095637_6243809170707647785_n.jpg

10389977_1421051764888253_460981894823053770_n.jpg

1382987_1416540782006018_6755995949430236230_n.jpg

11401247_1415417418785021_3080224676039343628_n.jpg

11351494_1410667252593371_8309757307307170588_n.png

11393150_1407411119585651_44165529944516510_n.jpg

10407631_1407410932919003_58786199754265692_n.jpg

10523981_1407410349585728_9203237956952835474_n.jpg
 
Hahahaaa mimi najiuliza waliolipiwa hotel Dodoma
na kuahidiwa nauli
unaweza kukuta now wanatafutana kuulizana nauli


Ahhahahhahhahha ndo maana tunaambiwa unapoenda mahali usitegemee hela ya mwenyeji Wako beba akiba yakibuma unapo pa kuanzia
 
Sasa sijui ataendelea na zile ziara zake za kutembelea na kusaidia misikiti na makanisa - au ndio itakuwa basi tena???
 
politics is either you win or loose, kwahiyo hakuna cha ajabu kuanguka kwenye siasa

Mfano mzuri ni wa Raila Jaramongi Oginga Odinga ameanguka mara ngapi na amesimama mara ngapi.

Tanzania bado tunajifunza siasa na ndio maana tuna mijadala ya kitoto.
 
Atakuwa keshafika ujerumani kutibiwa mana kufeli kwa Project kama hii iliyogharimu billions of money si mchezo... But hongera kwa mlofaidi pesa zake
 
Back
Top Bottom