KIBARAone
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 642
- 243
Hakuna cha Ukawa wala Ukewe! Kwendeni huko hapa ni ccm pekeeee wengine watabaki kuwa wasindikizaji kama ilivyo ada
.. Una hangovers ya kabanduliwaaaaaaaaa kwa Edo
Hakuna cha Ukawa wala Ukewe! Kwendeni huko hapa ni ccm pekeeee wengine watabaki kuwa wasindikizaji kama ilivyo ada
Hahahahaahahaha kwiwkiwikwi hahahaha aseee ni hatareeeee wapo waloikuwa hawajalipwa hapo bila shaka, sasa kiyama yao ndo hiyo imefika, kibarua tena kwishney boss wao hana kazi tenaKuna uwezekano mkubwa wa watu kuzurumika.Ambao mlikuwa hamjalipwa imekula kwenu.
Wewe na baba yako ndo wenye hangovers za kubanduliwa wewe kilaza.. Una hangovers ya kabanduliwaaaaaaaaa kwa Edo
Wewe utakuwa miongoni mwa wale ambao hamjalipwa na Team sasa naona umeamua tu liwalo na liwe unajitolea tuu lkn unajitolea kwa nani maana kama boss wako safari imeishia njiani.Team Lowasa..safari ya matumain inaendelea,maamzi magumu yapo palepale.
roho yangu imesuuzika kwa lowasa kuondolewa,alitishia akishina patachimbika sasa ngoja tuone atafanya nini
Ndio mdudu gani huyo?... Ukawa njia nyeupeee
Wameanza kupanic. Mbona pinda mwandosya na Wengine wako kimya tu?