Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Naenda Bar mapemaa kusherehekea, CCM bora hata tungesimamisha jiwe siyo huyu shetwain lenye nyoka hatari sana kwa taifa akina Rostam, Chenge, Karamgagi......
Mlevi hakosi sababu za kupombeka asubuhi namna hii!
 
wengi walikuwa wanamtafunia tu hela mzee wa watu wala hawakumpenda chochote !
 
This is extreme hipocricy.Kwa nini usikae kimya.Pamoja na upumbavu wake wote,kushindwa kujipambanua nk.bado anastahili heshima kama kiumbe wa Mungu.
Pole sana Lowasa na team yako.Pamoja na kutokuunga mkono,ila huruma imeniingia sana baada ya kusikia habari za kukatwa.Ningependa kujua kwa sasa mzee upo wapi na u hali gani?
 
Waliandamana kwa madai kuwa Lowasa ndiye mkombozi wao, sasa waandamane jina lake lirudishwe, team Lowasa poleni sana!!
 
Itakapofika October ndio utakumbuka haya
10400051_1424756097851153_7644637589306271179_n.jpg
11295912_1424756251184471_3016837221192238416_n.jpg

11165274_1422311258095637_6243809170707647785_n.jpg

10389977_1421051764888253_460981894823053770_n.jpg

1382987_1416540782006018_6755995949430236230_n.jpg

11401247_1415417418785021_3080224676039343628_n.jpg

11351494_1410667252593371_8309757307307170588_n.png

11393150_1407411119585651_44165529944516510_n.jpg

10407631_1407410932919003_58786199754265692_n.jpg

10523981_1407410349585728_9203237956952835474_n.jpg

Hizi aweke kwenye album sebuleni kwake wegeni wawe wanapitia pitia kwa ukumbusho.
 
Kuna haja ya kutafuta pop corn hapa mana movie bado inaendelea kwa waliokatwa
AMESHAKATWA
 
Atumia mamilioni kuusaka uraisi ila kalamu ya mia mbili ✒imetumika kumkataaa😃😃😃😃😃tena kama sio zike kalamu za obama itakuwa bic
 
Kuna haja ya kutafuta pop corn hapa mana movie bado inaendelea kwa waliokatwa
AMESHAKATWA
 
Dr. Slaa kashachukua nchii...

Ni ngumu kuamini... ila Mungu kaamua kuwakomboa watanzania kupitia Dr. Slaa

UKAWA mwendo wa speed of light...!!!

Ukawa, nchi yenu sasa...mshindwe wenyewe ..CCM wamejiua wenyewe...!!!
 
Fahamu lowasa Ana moyo wa kutoa na mwenye huruma hivyo hakuna jipya ataendelea na huo moto ambayo ni zawadi kutoka kwa mungu na pia ataendelea kuwajibika na kuwajibisha!
 
Back
Top Bottom