Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Mzee Mengi na ITV yake leo asubuhi naona kaweka Clip ya Baba wa Taifa akitahadharisha kuwa CCM isipomchagua mtu anaekubalika na wananchi italia machozi. Nataka kujua huyu mzee Mengi nae alikuwa team mamvi!
inakaa badoo upo usingizini mkuu.
Wenzio chama mojaa, chama cha kutaka umiliki na udalali wa gesi
 
Mie kama Katibu wa Mabodaboda na Mabajaji Tanzania,nasema hatukubali Mlezi wetu wa chama cha bodaboda kukatwa.
 
inasikitisha ninapo ona watanzania wanapo kua na hope kua ccm bado ina viongozi bora hasa hao walio tangaza nia!!! tutaendelea kua masikinj miaka 10000 ijayo!!! maaana hata historia inatuhukumu aisee!!!
 
Kabisaaaaa!! Yaani kwa kilichoendelea kwa Lowassa kilinifanya niwe na hofu na vijana wa taifa hili kwakweli, hivi tutakuwa taifa la kesho hata lini, tunahitaji kuwa taifa la leo na tufanye maamuzi magumu for the sake of our nation sio kuangalia vijisenti unavyopewa leo vikakuziba ufahanu ukaiharibu kesho yako!!

Mmmh!....nimekuona mtani.....upo vzuri sana.....nimekuelewa....ila me kwa maCCM haya huwa sikai, napitaga tu.
Asubuh njema.
 
Pole sana Lowasa na team yako.Pamoja na kutokuunga mkono,ila huruma imeniingia sana baada ya kusikia habari za kukatwa.Ningependa kujua kwa sasa mzee upo wapi na u hali gani?
 
Sasa kimekucha x2 jogoo limepandwa huko
Dodoma!
Dada wa CCM x2 Apewe Kura na Deo...
 
Pole sana Lowasa na team yako.Pamoja na kutokuunga mkono,ila huruma imeniingia sana baada ya kusikia habari za kukatwa.Ningependa kujua kwa sasa mzee upo wapi na u hali gani?

Atakua amelala muda huu.
Watu wana majungu

Eti lowasa
Katumia pesa kibao kuutafuta Urais halafu pen ya mia mbili tu imemkata
 
Mmmh!....nimekuona mtani.....upo vzuri sana.....nimekuelewa....ila me kwa maCCM haya huwa sikai, napitaga tu.
Asubuh njema.

Hahahaaaa!! Hebu usiniache mtani nisubiri twende wote, maana hii mi_ccm sijui nani aliiroga, hakuna hata mwenye unafuu.
 
Mimi naamini sote tunajenga nyumba moja, tulikuwa tumeshazoeana kwenye magroup yetu kule Facebook na WhatsApp, naamini mijadala bado tunayo mingi, kinachonisikitisha ni spidi ya hatari ya kujitoa kwa wapambe wenzangu kwenye magroup, au ni hilo moja tu ndo lilikuwa limewapeleka huko?

Poleni, ila hiyo ndo inaitwa Siasa, tujadili na mengine tafadhali, msikimbie, kujeruhiwa huwa inatokea
 
unaweza kuta yupo ikulu ndogo

Huenda anakunywa chai na wale siokuwa na mfungo!
Siasa si fitna banaaa.., na kwa mwanasiasa mkomavu kama Lowassa jina lake kukatwa ni ajali tu ya kisiasa!

Majaaliwa 2025 kama atapenda kutangaza nia kwa mara nyingine tena.
 
huu ndio ukweli.

akina Kingunge sijui wanatamani kufa kwa aibu na uoga wa maisha, Hamis Mgeja na wenzake, akina Nchimbi , Lugola, Simba na wengine weng waliojiandaa kuimaliza nchi.

akina Bashe, Rostam, Karamag, Chenge etc

sema naona baadhi ya Mafisad wanavyoenda kujiunga na akina Mramba muda si mrefu
 
Huenda anakunywa chai na wale siokuwa na mfungo!
Siasa si fitna banaaa.., na kwa mwanasiasa mkomavu kama Lowassa jina lake kukatwa ni ajali tu ya kisiasa!

Majaaliwa 2025 kama atapenda kutangaza nia kwa mara nyingine tena.
2025 ni mbali sana majaliwa kufika uko
 
Back
Top Bottom