Ngatele
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 809
- 706
Kwa kauli yake sasa atasaidia watanzania kuyapata mabadiliko waliyo ya kosa ccm that is watanzania watayapata mabadiliko wayatakayo ukawa na si ccm iliyomtosa though yeye hata kuwa mgombea wa ukawa.
Hasira zake kwa Riz kuwa rais hawezi toka kaskazini atazilekeza ukawa ili Dr. Slaa kutoka kaskazini achaguliwe.
Hasira zake kwa Riz kuwa rais hawezi toka kaskazini atazilekeza ukawa ili Dr. Slaa kutoka kaskazini achaguliwe.