Qute cherry
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 294
- 136
Hahahaaa aache kutuzingua banaa,angesema tu hawezi ongea maana presha iko juu
Mda wowote Mh.Lowasa ataitisha mkutano akiwa na timu yake.Jambo kubwa ikiwa ni kutoa msimamo wao na kutoa tamko zito linaloweza kutikisa nchi.Tunasubiri
Mmemlia mzee wa watu pesa sasa Kingunge lazima awaroge.. Mtalala na mapopobawa kila siku hahaha
Mda wowote Mh.Lowasa ataitisha mkutano akiwa na timu yake.Jambo kubwa ikiwa ni kutoa msimamo wao na kutoa tamko zito linaloweza kutikisa nchi.Tunasubiri
Malechela alikuwa muoga pia nguvu ya Nyerere ilimtisha kipindi kile. Lakini leo ccm niambie nani anaweza mkemea mtu zaidi ya ubabe kutumika ktk maamuzi ambayo yanakigarimu chama chetu. Tumeshuhudia tukipoteza majimbo kwa uzembe huu huu,leo kwa nchi hapana. Chama chetu hakijazoea kuwa upinzani.Malechela alikua vp president na makamo chaiman wa ccm na alikua na nguvu kuliko yoyote ccm ..alikatwa na akakubali na akabaki kwenye mstari
Fahamu lowasa Ana moyo wa kutoa na mwenye huruma hivyo hakuna jipya ataendelea na huo moto ambayo ni zawadi kutoka kwa mungu na pia ataendelea kuwajibika na kuwajibisha!