Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Ukawa kazi kwenu CCM mpasuko ni wa hatari na wengi wameapa kuhamia UKAWA.
 
Mimi naamini sote tunajenga nyumba moja, tulikuwa tumeshazoeana kwenye magroup yetu kule Facebook na WhatsApp, naamini mijadala bado tunayo mingi, kinachonisikitisha ni spidi ya hatari ya kujitoa kwa wapambe wenzangu kwenye magroup, au ni hilo moja tu ndo lilikuwa limewapeleka huko?

Poleni, ila hiyo ndo inaitwa Siasa, tujadili na mengine tafadhali, msikimbie, kujeruhiwa huwa inatokea
au vp bwana.
 
Huo Ndio Utofauti Kati Ya Ccm Na Chadema Ccm Ni Tumbo Mbele Maslahi Kwanza, Chadema Utaifa Kwanza Maendeleo Yanafuata
 
dah! kapitia vipindi vigumu sana dunia haina wema tenda wema nenda zako usisubiri shukurani hilo ndo lililomkuta EL.
 
Lowassa hakatwi wewe, mbona hamtangazi? Tunaua ccm nakwambia
 
Wote ameangukia pua!
Wakale malimao tu kujifariji na wakapige hesabu ya hasara waliyopata baada ya kuwekeza kwenye dili ambalo halijawalipa!
 
jamani tusubiri hiyoo top five lowasa anaweza kuwepo dk za mwisho eti.
 
Hivi ni kweli jamaaa wamemtoa mbona mda wa kutangaza majina bado hizi habari za wapi ni sahihi kwamba lowasa hayupo top 5.
 
Kwa heshima na taadhimaa mabibi na mabwanaa wa team lowasa tunaomba mkafute pages zenu zooote kwenye social networks,na wale wenye account insta mlioandika kwenye bio zenu ,'team lowasa for lifeee' mkafute maana kwiiiisha habari yenu hahaaaaaaaaaa
 
Acha UMBEYA wewe alisemea wapi????

Teamlowasa mtapata ugonjwa wa Moyo.
Kkkkkkkkk. Leo unakana mpk maneno ya Gwajima?

Umesahau nini alikisema alipokuwa kwenye kile kiti cha walemavu baada ya Kujizimisha pale Polisi sio?

Mtakiona mwaka huu! Utapeli mwisho wake mbaya.
 
dah! kapitia vipindi vigumu sana dunia haina wema tenda wema nenda zako usisubiri shukurani hilo ndo lililomkuta EL.

Wema gani ameufanya huyo mzee vitisho vingi kumbe kakatwa yeye ilitakiwa awahonge akina kikwete ndo wenye mabavu na si vitisho majukwaani kuwatisha mabosi wake
 
Back
Top Bottom