Edward Lowassa: Nimerudi nyumbani (CCM), msiniulize nimerudi kufanya nini, nimerudi nyumbani - Machi 9, 2019

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,568
2,000
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewaomba watanzania waliompigia kura katika uchaguzi mkuu uliyopita kumuunga mkono, Rais John Magufuli.

Lowassa amesema hayo mkoani Arusha alipokuwa akiwahutubia mamia ya wafuasi wa chama cha mapinduzi CCM, waliojitokeza kumpokea baada ya kukabidhiwa rasmi kadi ya uanachama.

"Nimerudi nyumbani msiniulize nimerudi kufanya nini, nimerudi nyumbani," alisema Lowassa huku akiwapungia mkono wafuasi wa CCM ambao walilipuka kwa shangwe na vigelegele.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom