Edward Lowassa: Nimerudi nyumbani (CCM), msiniulize nimerudi kufanya nini, nimerudi nyumbani - Machi 9, 2019

Wewe utakuwa mchawi. Maumivu yake ya ndani unayatambuaje zaidi ya Regina pekee kuyatambua.
ulisoma mpaka wapi na ulisoma nini na wapi? akili yako ndogo kiasi cha kufananisha maumivu ya ndani na mahusiano tu? hujui psychologia ndugu? mengine muwe mnakaa kimya kuficha ujinga
 
Yuko sahihi mzee kwani we ukirudi kwako unaulizwaga umerudi kufanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize huko kwao alikimbia nini? Kukimbia kwako ni sawa na kusema umeikimbia familia yako. JE WEWE UNA AKILI TIMAMU KWELI!!! SASA NIMEWAELEWA CCM KWA SEHEMU.
HUYU MAMVI ALISTAHILI YALE MATUSI YA KINA MUSUKUMA NA KIBAJAJI,TENA HAYAKUTOSHA LOWASA HAFAI KTK JAMII KAMA NI MBOGA , AFADHARI YA NGURUKA NA KACHUMBARI UTAKULA UGALI UKASHIBA.
KWELI MUHENGA NI MUHENGA, MZEE,MZEE NYERERE HAKUMTAKA KABISA HUYU LOWASA,WATU HATUKUELEWA YULE MZEE.
SASA NDIYO TUNAPATA MAJIBU, AAALAAAA!!! KUMBE HUYU HAKUFAA KUWA KIONGOZIIIII!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alivyotumikishwa upinzani, ninahakika hakuna kiongozi aliyekuwa anampenda upinzani isipokuwa walitaka kumtumia kama daraja kuvuka upande wa pili. Walihitaji mageuzi kwa namna yeyote ile.

Hata CCM alikorudi ambako yeye amekuita nyumbani wamempokea kwa sababu wanataka kumtumikisha kama walivyofanya upinzani. Hakuna anaempenda CCM labda disadvantageous group yà awamu ya 5, ila watawala wanataka wamtumie kama daraja kuvuka 2020.

Naamini EL bado alikuwa anamatumaini ya kugombea urais 2020. Pamoja na sababu nyingi ambazo wachambuzi wa masuala ya siasa wamezitaja kama kunyang'anywa kwa mashamba yake na kuwekwa ndani mkwe, kauli ya TL kutaka kugombea urais inaweza kuwa imemsukuma zaidi kufanya maamuzi.

Imagine huyu mzee bado anatakakushangiliwa na kupungiwa mikono barabarani!!! Bado anataka umaarufu. Hivi anajitambua kweli? Mafahali wawili hawaishi zizi moja. Hajui kama anamvumilia kwa sababu ya uchaguzi tu, hataki kusiki sauti ya kiumbe mwingine akisifika Tz zaidi take.
 
Nasikia kada mwenzetu aliyerejea nyumbani amehutubia Arusha..japo sio mbunge wa eneo Hilo na Mwenyekiti wetu amekataza mikusanyiko ya kisiasa hadi uchaguzi mkuu. Najua GTs mpo mtatoa maana au tafsiri ya hi tabia ya Kada wetu. Nashangaa hata Polisi wetu wamekataa kabisa kumshughulikia jamani. Anyway Karibu Sana Nyumbani CCM. Ukiwa huku utakuwa salama wewe, mali na familia yako yoote.
 
Back
Top Bottom