Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewaomba watanzania waliompigia kura katika uchaguzi mkuu uliyopita kumuunga mkono, Rais John Magufuli.
Lowassa amesema hayo mkoani Arusha alipokuwa akiwahutubia mamia ya wafuasi wa chama cha mapinduzi CCM, waliojitokeza kumpokea baada ya kukabidhiwa rasmi kadi ya uanachama.
"Nimerudi nyumbani msiniulize nimerudi kufanya nini, nimerudi nyumbani," alisema Lowassa huku akiwapungia mkono wafuasi wa CCM ambao walilipuka kwa shangwe na vigelegele.