Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,446
- 16,301
Wanasemaga kwenye siasa hakuna rafiki/adui wa kudumu. Nadhani huu msemo ni sahihi kabisa hasa ukiangalia jinsi siasa za nchini mwetu zinavyoenda kwa sasa.
Nani alidhani kuna siku Lowasa na Polepole watakuja wakae meza moja hivi hasa baada ya maneno mbofumbofu aliyowahi kutoa Polepole ambaye ni kijana mdogo kwenda kwa Lowasa ambaye kiumri ni kama baba yake.
Nadhani hii ni hatua nzuri sababu inaonesha ukomavu wa kisiasa, inaonesha siasa si uadui. Hivyo sisi wananchi wa kawaida tusipende kuchukiana kwa tofauti zetu za kisiasa kwa sababu hata hao wanasiasa tunaodhani wana uadui si kweli bali ni false mentality ambazo tumejijengea.