Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Agombee tu, ni haki yake kikatiba. Now yupo fit than 2015.

Changamoto ni kupambana na Magufuli, the proactive person who promises and do regardless ya makosa yake ya kibinadamu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kama Kenya wanampenda agombee hukohuko na linchi lao la kifisadifisadi, naona Uhuru anatuchokonoa kilichompata joice banda naona anakitafuta
Wakenya?
aaca8b3cdaaaa8f8e39ba7c9ebb422cd.jpg
 
Ila jamani Mungu fundi.... anajua wapi aweke tofali wapi aweke bawaba..... Sizonje angeijua lugha ya malkia vizuri haki tusingelala hapa mjini.... baba mpenda sifa kuliko malaika wa sifa ibilisi
......

Na Ule moyo ungekua unatulia angekata mawimbi kuliko Vasco da Gama.... ama kweli Mungu fundi.

Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] moyo wenyewe spana mkononi mda wowote kibetri kinazima
 
Hapa tuelewe kwamba chadema tayari wana mgombea urais wa 2020 aliejitangaza huko Kenya.

Lile baraza kuu litakuwa na kazi gani wakati wa kutafuta mgombea wa chama?

Je mwanachama mwingine atakae onesha nia ya kuomba uteuzi wa chama kugombea nafasi hyo ataeleweka kweli?

Huu ni mgogoro mkubwa unaandaliwa na ku clear njia ya Magu 2020.

Mwizi wa kura za wapinzani ktk chaguzi huwa ni mipango mibovu na wala sio ccm.

Post sent using JamiiForums mobile app

Mbona na kijani tayari wanamgombea wao hadi 2025,lipi la ajabu kwa CDM kuwa tayari na mgombea 2020?
 
Mbona na kijani tayari wanamgombea wao hadi 2025,lipi la ajabu kwa CDM kuwa tayari na mgombea 2020?
Kwa Ccm ni hivi mgombea aliepo madarakani anapewa nafasi ya kugombea mara ya pili na chama kuridhia endapo kitaona infaa.

Nipe experience ya CHADEMA uliotumia hapa.

Ccm katiba yao inatambua hilo.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Ila jamani Mungu fundi.... anajua wapi aweke tofali wapi aweke bawaba..... Sizonje angeijua lugha ya malkia vizuri haki tusingelala hapa mjini.... baba mpenda sifa kuliko malaika wa sifa ibilisi
......

Na Ule moyo ungekua unatulia angekata mawimbi kuliko Vasco da Gama.... ama kweli Mungu fundi.

Post sent using JamiiForums mobile app
Je unataka tuamini kwamba Lowassa anajua vizuri lugha ya Malkia? Usitudanganye hapa !! Tanzania tumewahi kuwa na viongozi wa juu wawili tu waliowahi kuwa na command nzuri ya Kiingereza nao ni JK Nyerere na Ben Mkapa kwisha
 
Aligombea akashindwa na akigombea tena atashindwa.
 
Acha kabisa kumfananisha Lowassa na yule 'uchwara' ambaye anapata hasira na Presha ukimuuliza swali kwa lugha ya malkia.
'Uchwara' kila kukicha anakariri tu salamu za kimakabila na matusi ya kisukuma tu ili kwenda kuropoka kwa watz wajinga.
Umeamua kumtukana boss wako?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hapa tuelewe kwamba chadema tayari wana mgombea urais wa 2020 aliejitangaza huko Kenya.

Lile baraza kuu litakuwa na kazi gani wakati wa kutafuta mgombea wa chama?

Je mwanachama mwingine atakae onesha nia ya kuomba uteuzi wa chama kugombea nafasi hyo ataeleweka kweli?

Huu ni mgogoro mkubwa unaandaliwa na ku clear njia ya Magu 2020.

Mwizi wa kura za wapinzani ktk chaguzi huwa ni mipango mibovu na wala sio ccm.

Post sent using JamiiForums mobile app
Tangu lini chadema wanalo hilo baraza kuu. Kama wangekua nalo labda sasa tungekua na rais wa chadema. Chadema ni chama kinachoongozwa ki mafia kama ccm. Tofauti ccm wanafanya danganya toto ya demokrasia kwa kutumia watu wachache poweful ku influence wengine wapitishe wanaowataka na watakaolinda maslahi ya chama.
 
Kugombea ni mchakato. Na yeye hajasema kuwa atagombea bila ya kufuata mchakato wa kichama utakaokuwepo!
Chadema hakuna mchakato acha ushabiki uwe muwazi. Mchakato uliishia huko nyuma kama kweli wanaamini mchakato kwanini waliwafukuza kina Zitto?
 
Asubiri kidogo wakati ufike tutakaa vikao kwa mujibu wa urataribu wa chama chetu, kwa kuzingatia taratibu zote ndipo tutamtangaza mgombea urais!
 
In short the old man is flat down to earth, hana lolote LA maana and will never be a president,

Umeeleweka Mkuu 'king maker'..... (you wish!!)

**When did it ever become a crime for one to pursue their dreams?!

Though I support you on him never becoming a president of United Republic of Tz , but still I bow down (somehow) to this Old man for all that he has been through (politically) lakini bado ako na Guts za kusimama tena na tena na tena?! Real man right here!

Maybe hiki ndicho alicholetwa kufanya hapa duniani (assuming we all exist for a reason) , kuwa 'mgombea' wa Urais wa Tanzania.......
 
Kiukweli Lowassa anaweza kufanya interview za kimataifa vyema, anajiamini na anajua nini cha kujibu, yote kwa yote ile Lugha ya Malkia inakwenda vizuri.
Tupe maoni yako juu ya mzee kujipitisha mwenyewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom