Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Kabisa mkuu, anarusha mikono kama anavua samaki hadi aibu.Siku zote ukiona mtu anaongea amekunja ndita na kurusha mikono fahamu ana matatizo na hajui kuzungumza kimkakati.
Angalia picha ya Wa awamu 1,2,3,4 wanazungumza huku wametulia. Walikuwa hawana cha maneno "Nimesema, Mimi ndio mkubwa, nitafanya n k" Walikuwa na "Tutafanya, Serikali yetu n.k".