Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

In short the old man is flat down to earth, hana lolote LA maana and will never be a president,
 
Acha kabisa kumfananisha Lowassa na yule 'uchwara' ambaye anapata hasira na Presha ukimuuliza swali kwa lugha ya malkia.
'Uchwara' kila kukicha anakariri tu salamu za kimakabila na matusi ya kisukuma tu ili kwenda kuropoka kwa watz wajinga.
Cha ajabu ukitiwa mbaroni kwa lugha ya kejeli na matusi, unasema ulikuwa unatetea maslahi mapana ya taifa!
 
Acha kabisa kumfananisha Lowassa na yule 'uchwara' ambaye anapata hasira na Presha ukimuuliza swali kwa lugha ya malkia.
'Uchwara' kila kukicha anakariri tu salamu za kimakabila na matusi ya kisukuma tu ili kwenda kuropoka kwa watz wajinga.
cha ajabu ukitiwa mbaroni kwa lugha za kejeli na matusi, unasema ulikuwa unatetea maslahi mapana ya taifa!
 
Dah.... Labda agombee Kenya....si kwenye nchi iliyoanza kujenga msingi upya

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Utaanza lini kupitapita makanisani na misikitini mzee lawassa
 
Huyu ndo alistahili kuwa rais wetu na atakua rais tu tuombe uzima nyie CCM na nongwa zenu dhidi ya Lowassa mtakuja tu kuachi dola nchi hii sio mali yenu.
 
Kwani sasa hivi hakuna Unga? Jielimishe mambo ya unga duniani ndipo utajua hadi kwenye Makasri ya wafalme na Ikulu za Ulimwengu walamba unga wapo?
Punguani ndio anaweza uliza swali ulilouliza na kukimbilia ya cjui ulimwengu umefanya nn..wkt agenda ni biashara ya unga kabla na baad ya serikali hii kuingia..hlf mnatetea ukosoaji wa kipuuzi km huu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Usihamaki jenga hoja. Unga upo na watu bado wanabwia. Nimetaja dunia nzima kwa kuwa si vita mpya hata hapa Tanzania ipo na inaendelea kuwepo bila ya kutafuta ujinga wa kusifiwa. Unajua Kala pina anafanya nini kwenye vita hii ya madawa ya kulevya. Unajua ni watu gani wanashughulika na wahanga walioko kwenye "Sober House" zilizoko Tanzania?

Nyie kila kitu mnapenda kukijaza upuuzi!
 
Hata Harmorapa ni rais kiboko ya mabishoo Hata huyu atakua rais ya wadeki Barabara
 
Hivi huyu si ndiyo alijinyea jukwaani au siyo anafaa kuwaongoza nyumbu wenzake na siyo nchi.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahaha siyo mbaya atakuwa Rais wa Richmond

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Usihamaki jenga hoja. Unga upo na watu bado wanabwia. Nimetaja dunia nzima kwa kuwa si vita mpya hata hapa Tanzania ipo na inaendelea kuwepo bila ya kutafuta ujinga wa kusifiwa. Unajua Kala pina anafanya nini kwenye vita hii ya madawa ya kulevya. Unajua ni watu gani wanashughulika na wahanga walioko kwenye "Sober House" zilizoko Tanzania?

Nyie kila kitu mnapenda kukijaza upuuzi!
Si unajua unga ulipo..kachukue uuze tuone km utakuja kuleta huu ujinga unaongea hapa..kila cku wimbo kucfiwa wala hahitaji sifa ya mtu yeyote anayofanya yanajisifu yenyewe!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyu si ndiyo alijinyea jukwaani au siyo anafaa kuwaongoza nyumbu wenzake na siyo nchi.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

bora 2015 alitoa magum jukwaani 2020 atatoa uharo kabisa
 
Si unajua unga ulipo..kachukue uuze tuone km utakuja kuleta huu ujinga unaongea hapa..kila cku wimbo kucfiwa wala hahitaji sifa ya mtu yeyote anayofanya yanajisifu yenyewe!

Post sent using JamiiForums mobile app
Biashara ya madawa ya kulevya hufanywa na watu walioharibikiwa maadili (moral corrupted persons) sifa ambayo mimi sina!
 
Ndoto njema akiamka atagundua kua yeye hafanani na Urais

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom