Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
Unataka aitwaje?Eti waziri mkuu aliyestaafu ?
Post sent using JamiiForums mobile app
Unataka aitwaje?Eti waziri mkuu aliyestaafu ?
Post sent using JamiiForums mobile app
Mhn! Kwani ccm hawana?Kwa hiyo Chadema wanaye mgombea tayari.?
CCM walimpitisha kwa mjibu wa katiba yao .... Chadema mmekaa lini kumpitisha Lowasa.?Mhn! Kwani ccm hawana?
Mali za nchi zipi hizo unazotaka kusema?Hekima na Busara za kukwiba mali za nchi?
Havome
HahahahaHata alivyokaa, angekuwa mkuu wa viwanda angekuwa anarusha mikono kama anavua samaki.
Chadema sio kama ccm. Mtu yoyote anaweza kuonesha nia ya kugombea wakati wowote as long as he is capable. Katiba yetu sio kama y ccm.CCM walimpitisha kwa mjibu wa katiba yao .... Chadema mmekaa lini kumpitisha Lowasa.?
Ccm wamempitisha lini? Mkuu usinipotezee muda plz.CCM walimpitisha kwa mjibu wa katiba yao .... Chadema mmekaa lini kumpitisha Lowasa.?
Pamoja mkuuHahahaha
Kiukweli Lowassa anaweza kufanya interview za kimataifa vyema, anajiamini na anajua nini cha kujibu, yote kwa yote ile Lugha ya Malkia inakwenda vizuri.
Hii comment nimeandika kuhusu aliyesema mbona Mh Mbowe hagombei.I did a mistake in quoting.Hajataka au hajaonyesha nia ya kugombea Urais.
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Lazima mutatafuta lugha za kujiliwaza maana vipigo vinakuwa vingi. Yaani una sifa mtu kuwa mwenye busara lakini hapo hapo mnasema CCM ndio imeifikisha nchi hapa tulipo. So Lowassa ndiye mwenye busara kuliko wote alikuwa nao huko CCM ama busara zimekuja baada ya kuhama?Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Kwi! Kwi! Kwi!Ila jamani Mungu fundi.... anajua wapi aweke tofali wapi aweke bawaba..... Sizonje angeijua lugha ya malkia vizuri haki tusingelala hapa mjini.... baba mpenda sifa kuliko malaika wa sifa ibilisi
......
Na Ule moyo ungekua unatulia angekata mawimbi kuliko Vasco da Gama.... ama kweli Mungu fundi.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mbowe asije akabadili mwelekeo na kushinikiza atafutwe mgombea mwingineView attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.
" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017