Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Kiukweli Lowassa anaweza kufanya interview za kimataifa vyema, anajiamini na anajua nini cha kujibu, yote kwa yote ile Lugha ya Malkia inakwenda vizuri.

Kama angekuwa yule "Uchwara" wa Tz ndio anahojiwa ungesikia kakimbia interview au akaishia kuporomosha matusi ya nguoni ya kiswahili na kisukuma.
Aisee umesahau na ile UNANIONEA.
 
View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.

" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
Hahaaaaaa. Mkwara wa juzi wa Magufuli Mzee ameamua kukimbilia Kenya😀😀😀
 
Juma Ponda Mali anajiona ana akili kuliko watanzania wote kumbe sisi tunamchora tu na kumuona mshamba wa madaraka
Mfalme juhaa anajiona kama kim jong un.
Kana kwamba maneno yake ndio katiba
Tunamchora tuu 2020 ndo atakapojiona ni mtu wa namna gani ata walioko upande wake watamgeukia
Ngoja tusubiri muda utajieleza wenyewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Siku zote ukiona mtu anaongea amekunja ndita na kurusha mikono fahamu ana matatizo na hajui kuzungumza kimkakati.

Angalia picha ya Wa awamu 1,2,3,4 wanazungumza huku wametulia. Walikuwa hawana cha maneno "Nimesema, Mimi ndio mkubwa, nitafanya n k" Walikuwa na "Tutafanya, Serikali yetu n.k".

Ndio maana tulifika tulipofika, sasa "HAPA KAZI TU!" tulia tunyolewe nidhamu irudi kama Taifa!!!
 
Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili

Hatuhitaji kuunganishwa kwa ufisadi sisi! Tumeunganishwa tayari kwa kuchapa kazi!!!!!
 
kama Kenya wanampenda agombee hukohuko na linchi lao la kifisadifisadi, naona Uhuru anatuchokonoa kilichompata joice banda naona abakitafuta
Dah ndg mawazo duni sana,,,,,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ila jamani Mungu fundi.... anajua wapi aweke tofali wapi aweke bawaba..... Sizonje angeijua lugha ya malkia vizuri haki tusingelala hapa mjini.... baba mpenda sifa kuliko malaika wa sifa ibilisi
......

Na Ule moyo ungekua unatulia angekata mawimbi kuliko Vasco da Gama.... ama kweli Mungu fundi.

Post sent using JamiiForums mobile app
yaniii anajidai oooh staki kusafiri cjui nalinda nchi kumbe anaproblemee mob
 
Cdm hapa waliokota jembe,hongera mboe,2020 mgombea ashajulikana!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hapa tuelewe kwamba chadema tayari wana mgombea urais wa 2020 aliejitangaza huko Kenya.

Lile baraza kuu litakuwa na kazi gani wakati wa kutafuta mgombea wa chama?

Je mwanachama mwingine atakae onesha nia ya kuomba uteuzi wa chama kugombea nafasi hyo ataeleweka kweli?

Huu ni mgogoro mkubwa unaandaliwa na ku clear njia ya Magu 2020.

Mwizi wa kura za wapinzani ktk chaguzi huwa ni mipango mibovu na wala sio ccm.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Lowasa utauwa watu kwa mchecheto/presha maana bwana Yule akisikia/akikuona kwenye runinga pressure inapanda utafunguliwa case ya uhaini sasa hivi. Membe mwenzio kaufyata.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom