TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,298
- 28,006
Kisa kiingereza! Mna vituko nyie.He deserves kutuongoza
Kisa kiingereza! Mna vituko nyie.He deserves kutuongoza
mimi sio mwanasiasa ni mtu mwenye profession yangu nje ya siasa so sigombei post yoyote ya kisiasa
kuhusu lowasa hiyo ni diversion plan yaani maccm yatawekeza kuhakikisha yanapambana na lowasa na kupoteza muda ili by the tym mgombea halisi wa UKAWA anateuliwa itakuwa shockwave na ccm watakua hawajamchafua au kujipanga na kujianda kupambana naye na ndio mchezo utanoga kwa waliosoma 48 laws of power warejee law number 2 kuhusu kutumia smoke screen kuhamisha concerntration ya maadui ...... ni hivyo tu hutaki acha ila nakuhakikishia 100% Lowasa hatogombea kma unabisha tukutane 2020 july
Umeona eeh! Ameona dalili za ugombea tarajiwa zinayeyuka kama dili la ukatibu mkuu lilivyoyeyuka kwa ujio wa Dr. MashinjiNdio mana Tundu Lisu amepaniki
View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.
" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
''Magufuli hayuko perfect........ameonyesha kuchukua hatua''Lowassa hana chance ya kuwa Rais wa Tanzania. Hata kama akiwa Rais hawezi kuleta mabadiliko yoyote. Corruption will be the way of life. Anaoenda Utajiri na maisha ya juu, huwezi kupenda Utajiri na maisha ya juu kwenye nchi kama ya Tanzania Wakati 99% ya Watanzania masikini, itabidi uwadhurumu masikini. Pia, he is too weak, unhealthy na ana shida ya integrity. Richmond, na kumusaidia Mbowe kutaka kunyakuwa jengo la umma. He is not fit to govern. Rais Magufuli hayuko perfect, hata hivyo ameonyesha ujasiribwa kuchukuwa hatuwa wakati Viongozi waliopita walishindwa. Ndiyo tunahitaji change Tanzania lakini hatuna alternative..
''Magufuli hayuko perfect........ameonyesha kuchukua hatua''
Unasema AMEONYESHA sasa kma ambavyo wengi hawakutarajia magufuli angefanya aloyofanya hasa utumbuaji majipu je kipi kinakufanya usiamini lowasa angewwza kufanya!!! Hivi tundu lisu na kina mnyika wakiwa serikalini wanaweza kweli kukubali ufisadi uendelee??? Serikali ingeongozwa na akili za lowasa au katiba ya nchi na ilani ya chama
Ive said this a milion times lowasa angekuwa rais ila powers behind the throne zote angekuwa nazo mbowe hivyo liwe liwalo kma lowasa angeogopa kuchukua hatua jitu kma mbowe lisinge ona haya especially ukizingatia anayewashughulikia ni maccn yaliyomtesa kwa miaka mingi akiwa upinzani
Lowasa kaongea kidogo mnatetemeka hiviWakati Magufuli alipochukuwa form ya kugombea Urais wengi hatukuamini kama atafanya aliyoyafanya leo. Nilikuwa mmoja ya Watanzania niliyeunga mkono upinzani mpaka hapo Dr Slaa alipojiuzuru kutoka Chadema. Hata hivyo niliuunga mkono upinzani sio kwa imani watafanya vizuri, liunga upinzani ili Tanzania iwe na upinzani mkubwa wa kuicheki serikali, sikuwa na imani na wagombeaji wote wa pande mbili mpaka hapo Magufuli alipoanza kuchapa kazi na kulaani uongozi uliyopita, wengi tukakubali ingawaje alikuwa serikalini alikuwa akichukia yaliyokuwa yakifanywa na serikali ya nne, na watu wakaanza kumuamini.
Tuna tatizo kubwa sana Tanzania la viongozi, hatuna choice kubwa, hii ni kwasababu ya elimu yetu, sina maana ya PHD hizo tunazo nyingi je lakini zina ubora gani? Kama hauko well informed, haujasoma na hujawa exposed na kuona nazingara tofauti duniani na kuzijuwa sheria na historian za uongozi kwa kusoma vitabu, magazeti, kwa ujumla uwe well informed na kuheshimu sheria wewe hujasoma hata kama una PHD, Na hiki ndicho Rais wetu hana, siyo tu Rais wetu, Viongozi wengi wa Tanzania hawana, na shida hii ililetwa na mabadiliko ya elimu yetu ya kuitegemea na restriction tulizokuwanazo ambazo ni moja ya makosa makubwa Rais Nyerere alifanya, ingawaje hakufanya makosa haya kwa manufaa yake mwenyewe, alifikiri mtindo huo utatufaa. Wanaotutawala kwa sasa mabadiliko yaliwakuta kwenye shule za msingi, na sasa ni viongozi, hawana elimu ya mawazo ya kuona mbali, na wazazi wao walizaliwa kabla ya uhuru, kwa hiyo wengi walikuwa hawajasoma. Mzazi asiyekuwa na elimu hajui faida ya elimu, kwa hiyo waliozaliwa 1950s wakipata bahati ya kupitia elimu bora kidogo, Kisha wakaingia elimu ya ujamaa na kujitegmea ndiyo group la wanaotuongoza leo.
Kweli tumesoma, but we are not exposed to make good decisions, tukijilinganisha na Viongozi wa nchi jirani. Huwezi kumuhonga pick up (gali la mizigo) Waziri wa Kenya akuachie dili ya mabillion, wa Tanzania unaweza, hii ndiyo tofauti ya elimu ya Viongozi wetu na nchi jirani. HOTUBA anazozitowa Rais Magufuli:= "Mimi siwapi chakula, sijaleta hilo tetemuko: Mimi sisomeshi wazazi, mtoto akizaa anakuwa mtu mzima: Msemo. wa Rais Kikwete: watoto walijitakia wenyewe kwa kihelehele chao; Msemo wa Mama Kikwete: Ni zambi kuwaruhusu watoto waliopata mimba kurudi shuleni dini zinakataza. Dini inakataza ufisadi, dini inakataza kuwaibia walio wengi , dini ingeanzia nyumbani kwake.. Hizi ni statement za watu walio na elimu ambayo haiendi na wakati, ndiyo maana hata tukiwa na madini ya aina gani, kama hatuna Viongozi wenye elimu ya sawa sawa, ya kuona mbali hatutaendelea kamwe. Elimu ndiyo mwingi wa maendeleo Nchi zote zimesonga mbele sisi bado tuko nyuma kwa kimawazo, na Viongozi wetu wako hivyo, hatuna choice we are in a big trouble. Lowassa amekuwa Kiongozi kwenye serikali karibu zote. Ameonyesha ana ubinafsi mkubwa. Mali alizonazo hawezi kuaccount kapata wapi. Mtoto wake alishikwa London Heathrow na pesa za KIGENI nyingi, Na kwa kuwa Viongozi wanachungana against wananchi, serikali ilitetea kama ilivyotetetea pesa za TEGETA Escrow sio za Watanzania, mtoto wa Lowassa akachiliwa. Tanzania ni nchi masikini sana, unless una biashara ya kuuza vitu nje ni vigumu kuwa na pesa nyingi za kigeni. Na ni kwa nini ukiwa kiongozi na mwanasiasa Afrika unapata utajiri mkubwa? Bila ya biashara? Hii ndiyo sababu naamini Lowassa asingeleta mabadiliko kwa Watanzania walio masikin. Kwa sasa hatuna choice hopefully Rais Magufuli atajifunza na makosa yake awape watoto wetu quality education ya kuwawezesha kusimama kwenye ukumbi wa dunia na kutowa hoja na kusikika. Kwa sasa Tanzania ni nchi mojawapo wenye upungufu mkubwa wa elimu.
KMmekomeshwa..na bado!
Post sent using JamiiForums mobile app
Ccm mnakesha mkiomba 2020 hisifike, maana kichapo kinawasubiri.Hizi siasa za kuvuka mipaka kwenye nchi jirani zitakuja kuleta matatizo mbeleni. Hapa nawaongelea EL na Raila pamoja na marafiki zao waliopo madarakani.
Ila jamani Mungu fundi.... anajua wapi aweke tofali wapi aweke bawaba..... Sizonje angeijua lugha ya malkia vizuri haki tusingelala hapa mjini.... baba mpenda sifa kuliko malaika wa sifa ibilisi
......
Na Ule moyo ungekua unatulia angekata mawimbi kuliko Vasco da Gama.... ama kweli Mungu fundi.
Post sent using JamiiForums mobile app
dah wabongo bhanaHivi inawezekana 95% ya watumiaji wa mtandao ni wafuasi wa Lowassa.! Au (chadema) maana kila analolitamka lowssa au kauli yoyote iwe nzuri au mbaya comments zinazotoka humu ni "safi"View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.
" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
Ila jamani Mungu fundi.... anajua wapi aweke tofali wapi aweke bawaba..... Sizonje angeijua lugha ya malkia vizuri haki tusingelala hapa mjini.... baba mpenda sifa kuliko malaika wa sifa ibilisi
......
Na Ule moyo ungekua unatulia angekata mawimbi kuliko Vasco da Gama.... ama kweli Mungu fundi.
Post sent using JamiiForums mobile app