Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Aanze kwa kutuambia ukweli kuwa yeye ni Mmasai au mmeru?
 
ATAGOMBEA SI KWA LENGO LA KUSHINDA ILA KWA LENGO KUENDELEA KUWA MOJA WA WATU MAARUFU INCHINI NA DUNIANI.
TAMAA HII INADUMAVA UPINZANI KWA SABABU CHADEMA WANAWEKA MTU AGOMBEE SI KWA AJILI YA CORPORATE GOALS MBALI KWA PERSONAL GOALS.
 
Kwa mafisadi poleni, maigizo kwishenei.
Lowasa sio wa sasa, amepitwa na msasa.
Subirini kivulini, dereva yu usukani.
Kwa kasi yake ya sasa, Lowasa sio kwa sasa!
 
CDM kimekufa kabisa baada ya kununuliwa na Lowa hasa! Sasa huyu akigombea ili iweje, labda kuziba nafasi!!!!
 
View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.

" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017

Ninachompendea lowassa, ni kwamba ni mvumilivu na hakubali kushindwa kizembe.

Kila lakheri mkuu. Natamani sana siku ndoto zako zitimie.

Kila mtu duniani ana ndoto. Na ili kuzifikia ndoto hizo, ni lazima upambane kufa na kupona ilimradi tu, unajua unachokifanya. Wapo wakatishaji tamaa. Ni kweli, duniani tupo tofauti. Wapo wanaosema hufai. Hata huku mitaani ni wengi tu tunaambiwa hatufai. Ila muda ukifika. Wale maadui, wanageuka kuwa marafiki.

Sitakosea nikisema kuwa lowassa ni mmoja kati ya watu wanaonifanya nisikate tamaa kuhakikisha natimiza ndoto zangu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Zitto alipata msukosuko chadema aliposema atagombea urais na uenyekiti. Labda kanuni zinapindishwa kwa wengine.
Zitto hakuweza kutimiza masharti ya chadema, kama kwanza lazima uwe unatokea mkoa wa Arusha ama Moshi, pili use mkiristo, tatu kama hotoki mikoa hiyo, basi angalao umeo bibi wa kichaga.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Makapi hoyeeeee

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Anawabip ccm ili wazidi kumuongezea dau[emoji3]
Politics is gumbling
Bora yangu mie na masters ya sayans kimu[emoji1375]
 
69f2ee65523605280b7b52d7f7321614.jpg
 
Tunaomba Mungu ndoto.zake zitimie ila 2020 bado parefu, ajichanganye na mambo mengine kwa sasa.
 
Kwani Kamati kuuu ya chadema ilishaa kaa na kumpitisha yeye?? je ndani ya chadema hakuna democrasia ya kura za maoni?? au yeye ndo kajitangazia??
 
Ni Mgombea wa Kudumu na wa Maisha kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Tanzania inajua na Dunia inajua.
 
Back
Top Bottom