Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Mfalme juhaa anajiona kama kim jong un.
Kana kwamba maneno yake ndio katiba
Tunamchora tuu 2020 ndo atakapojiona ni mtu wa namna gani ata walioko upande wake watamgeukia
Ngoja tusubiri muda utajieleza wenyewe

Post sent using JamiiForums mobile app
Sahau kuhusu hilo. Ova

Post sent using JamiiForums mobile app
 
NIMEPENDA KWA JINSI MLIVICHANGIA ILA NAOMBA KUWAAMBIA KATIBA INARUHU MTU YEYOTEKUGOMBEA ATAKAEIBUKA MSHINDI NDO TUMUUNGE MKONO TUMSAPOTI ILI MRADI AWE RAIA WA NCHI HUSIKA SASA HAPA KWETU MR JOHN POMBE MAGUFULI AMEIBUKA KIDEDEA NA NIMTANZANIA MWENZETU TUMUUNGE MKONO ILI TULIFIKISHE TAIFA MAHALI PAZURI SIO KILA KITU ANACHOFANYA MNAONA ANAKOSEA MPONGEZEN ILI AONGEZE BIDII ,KWA MFANO SIKU ZA NYUMA TULIMSEMA SANA JAKAYA AKAMALIZA TUMENYAMAZA. CCM WAKASIKIA MALALAMIKO YETU WAKALETA MTU AMBAE HAANGALII SURA YA MTU UKIKOSEA WAJIBIKA MWENYEWE VINGINEVO ANAKUTUMBUA HATAKI MCHEZO SASA MNAPIKA KELELE MNATAKA NN MBONA MZEE LOWASSA ANAMPONGEZA MWENZAKE NYIE WAJUMBE HUMU NDANI TUACHE KULALAMIKA TUMUUNGE MKONO MHESHIMIWA RAIS

Mungu pamoja nasi
 
Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Umeongea kitu sahihi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hizi siasa za kuvuka mipaka kwenye nchi jirani zitakuja kuleta matatizo mbeleni. Hapa nawaongelea EL na Raila pamoja na marafiki zao waliopo madarakani.
Hapa angekamatwa yeye na huyo anaemfanyia mahojiano

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Lazima mutatafuta lugha za kujiliwaza maana vipigo vinakuwa vingi. Yaani una sifa mtu kuwa mwenye busara lakini hapo hapo mnasema CCM ndio imeifikisha nchi hapa tulipo. So Lowassa ndiye mwenye busara kuliko wote alikuwa nao huko CCM ama busara zimekuja baada ya kuhama?
Kama Lowassa ana busara basi wanaCCM wana busara kuliko yeye ndio maana hawako naye. Mlijidai kusema mabadiliko na Lowassa, sasa ni mabadiliko gani mnayotaka kama hatukuyaona akiwa PM?
"Najua roho zinawauma mnapokohoa, Magufuli hakohoi"

busara ndio zilizo mtoa ccm, we unaona kula zile rambirambi ni busara au unafikiri kudanganya umma hamna uwezo wa kurusha bunge wkt tunaona vitu vya ajabu ajabu live huko tbc tena kwa fedha zetu za kodi hio nayo ni busara? Au kumkingia bashite kifua ni busara zaidi?..
 
NIMEPENDA KWA JINSI MLIVICHANGIA ILA NAOMBA KUWAAMBIA KATIBA INARUHU MTU YEYOTEKUGOMBEA ATAKAEIBUKA MSHINDI NDO TUMUUNGE MKONO TUMSAPOTI ILI MRADI AWE RAIA WA NCHI HUSIKA SASA HAPA KWETU MR JOHN POMBE MAGUFULI AMEIBUKA KIDEDEA NA NIMTANZANIA MWENZETU TUMUUNGE MKONO ILI TULIFIKISHE TAIFA MAHALI PAZURI SIO KILA KITU ANACHOFANYA MNAONA ANAKOSEA MPONGEZEN ILI AONGEZE BIDII ,KWA MFANO SIKU ZA NYUMA TULIMSEMA SANA JAKAYA AKAMALIZA TUMENYAMAZA. CCM WAKASIKIA MALALAMIKO YETU WAKALETA MTU AMBAE HAANGALII SURA YA MTU UKIKOSEA WAJIBIKA MWENYEWE VINGINEVO ANAKUTUMBUA HATAKI MCHEZO SASA MNAPIKA KELELE MNATAKA NN MBONA MZEE LOWASSA ANAMPONGEZA MWENZAKE NYIE WAJUMBE HUMU NDANI TUACHE KULALAMIKA TUMUUNGE MKONO MHESHIMIWA RAIS

Mungu pamoja nasi
Kumhusisha huyo mtu na Mungu ni dhambi
 
Hana Wenge mzee wa watu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hakika pesa mwana haramu huyu kajanja anazitendea haki yake duh ila mungu yupo atapambana nae na inshaaa,allah kipenzi chetu tutakuwa nae mpaka dakika ya mwisho god bless tanzania god bless mr president
 
Hapa tuelewe kwamba chadema tayari wana mgombea urais wa 2020 aliejitangaza huko Kenya.

Lile baraza kuu litakuwa na kazi gani wakati wa kutafuta mgombea wa chama?

Je mwanachama mwingine atakae onesha nia ya kuomba uteuzi wa chama kugombea nafasi hyo ataeleweka kweli?

Huu ni mgogoro mkubwa unaandaliwa na ku clear njia ya Magu 2020.

Mwizi wa kura za wapinzani ktk chaguzi huwa ni mipango mibovu na wala sio ccm.

Post sent using JamiiForums mobile app
Huu sasa ulofa wa akili. Ni vema wakati mwingine mtu kuonyesha hujui ili ujifunze kuliko kuonyesha unajua kumbe hujui.
Mtu yeyote kwenye chama (isipokuwa Ccm) anatangaza kugombea. Wakati ukifika vikao hukaa kuchuja waliotangaza nia ya kugombea.
Kama huyu katangaza na wengine wanshimizwa wajitokeze mapema watangaze ili jamii iànze kuwafuatilia Sifa zao. Acheni mambo ya kishamba wakati huu wa kidijitali

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Biashara ya madawa ya kulevya hufanywa na watu walioharibikiwa maadili (moral corrupted persons) sifa ambayo mimi sina!
Bora moral corrupted person kuliko abdominal corrupted person, evil n selfish like you..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kinachofanya kazi ktk taaisi yoyote ili ni roho ya kiongozi........

Kiongozi mkuu akiwa "boya" taasisi nzima inakuwa boya..

Angalia:
Wakati wa Jakaya, Jakaya alikuwa mtu "fair play"... Hivyo maeneno mengi ikawa hivyo .... Hapa nchi iliyoongozwa na roho ya kiongozi ambayo ni "fair".

Tuangali awamu ya JPM
JPM ni kiongozi mpenda sifa, mkurupukaji n.k.... Hivyo taasisi zote za chini yake zinaongozwa hivyo hivyo.

Viongozi wa sasa wanatenda ndipo wafikiri... Hawana muda wa kufikiri ndipo watende .. Hii ni changamoto kubwa sana

Sent using Nokia toch......
 
Back
Top Bottom