Mhigomkami
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 1,200
- 857
Hana jipya, old man. labda TL agombeee urais.
Ni kweli kwa tabia yake yeye asingeweza kuzuia wapinzani wake kumkosoa pia yeye ni mtu wa kusamehe hata wanaomshutumu bila ya kuwa na ushahidi ama sababu.Hakuna rais hapo kwa aliyo yafanya Magufuli yeye asingeweza...
Sina chana ila Mtazamo wangu..
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Sio Tundu Lissu?He deserves kutuongoza
Hekima hatutaki sisiHuyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Huyu ambaye akisema neno moja tu timu yenu nzima inahamia Golini? Na yeye anafaa na kama mchakato wa kumpata Mgombea Urais utamfanya yeye kuwa mgombea basi atakuwa mgombea.Sio Tundu Lissu?
Na Mwenyekiti Mbowe vipi, hana sifa?Huyu ambaye akisema neno moja tu timu yenu nzima inahamia Golini? Na yeye anafaa na kama mchakato wa kumpata Mgombea Urais utamfanya yeye kuwa mgombea basi atakuwa mgombea.
Kwani sasa hivi hakuna Unga? Jielimishe mambo ya unga duniani ndipo utajua hadi kwenye Makasri ya wafalme na Ikulu za Ulimwengu walamba unga wapo?Huyu akiwa rais basi hii nchi itakua kama Colombia tu.ma unga nje nje na ma deals yote yatahamia bongo..ananuka rushwa huyu mtu...fisadi papa haswa. Hafai.
Post sent using JamiiForums mobile app
umemjibu vema pata like yangu mkuuHajasema yeye ni Mgombea bali kasema atagombea na kugombea Urais ni mchakato. Sasa ni wapi amesema kwamba yeye kateuliwa kugombea na wala CHADEMA hawajafanya maandamano kumwambia yeye anafaa mwaka 2020 bali huo ni utashi wake.
Mzee mwongo sana huyu!! Sasa sijui Ng'ombe aliosema atawachunga ndio machadema!!!?Hivi si ni huyu, huyu mzee aliyewahi kusema haondoki CCM! Oooh nikishindwa Urais nitaenda Monduli kuchunga ng'ombe! Mwambie aache uongo, leo hivi kesho vile
kama Kenya wanampenda agombee hukohuko na linchi lao la kifisadifisadi, naona Uhuru anatuchokonoa kilichompata joice banda naona abakitafuta
Sifa za kugombea Urais inatokana na Katiba ya nchi. Na Mbowe naye anakidhi vigezo na ndiyo maana alikuwa Mgombea wa Kwanza wa Urais Kupitia CHADEMA pale alipogombea Urais mwaka 2005.Na Mwenyekiti Mbowe vipi, hana sifa?
ushaidi mkuu uko wapi mbna unampa sifa mbaya lete ushaidi mkuuHuyu akiwa rais basi hii nchi itakua kama Colombia tu.ma unga nje nje na ma deals yote yatahamia bongo..ananuka rushwa huyu mtu...fisadi papa haswa. Hafai.
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa sasa vipi, mbona hamumpi nafasi wala hamumjadili kabisa!?Sifa za kugombea Urais inatokana na Katiba ya nchi. Na Mbowe naye anakidhi vigezo na ndiyo maana alikuwa Mgombea wa Kwanza wa Urais Kupitia CHADEMA pale alipogombea Urais mwaka 2005.
Zitto alipata msukosuko chadema aliposema atagombea urais na uenyekiti. Labda kanuni zinapindishwa kwa wengine....
Huyo lowasa kateuliwa na kikao kipi kuwa mgombea 2020? Kama mlichukua pesa yake jiandaeni hizo pesa mlizochukua zitawatokea puani. Kanunua anasema lolote na hamuwezi kumfanya chochote
Unazungumzia watanzania gani? Wale ambao kwao ufisadi kwenye kivuko, uuzwaji wa nyumba za serikali; nk si kitu?Sio mara ya kwanza...What is NTV??
hata BBC WALIMUHOJI..
Watanzania hawataki ufisadi ...FINITO
Hakuna anayepewa nafasi wala kujadiliwa kwa kutumia mfumo wa chama, ila mwanasiasa ni yeye anayetengeneza kujadiliwa na kupewa nafasi. Hata Lowassa hajadiliwi wala kupewa nafasi bali ni yeye anayetengeneza hali hiyo kwa jinsi alivyo na CCM ndiyo huweka mwangwi kwenye hali hiyo ya Lowassa.Kwa sasa vipi, mbona hamumpi nafasi wala hamumjadili kabisa!?