Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa

Pole sana ndoto za mzee wako hazijawai kuwa kweli. Mjipange sawasawa maana Chadema mpaka sasa hatuna mgombea 2020 inakuwaje ajione yeye anafaa?
 
Aaah

Post sent using JamiiForums mobile app
 
View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.

" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
asahau kama alikosa 2015 ndiyo basi tena....... bora angekomaa ndani ya chama angejijenga zaidi ili ashindane na Mh Magu 2020 ndani ya ccm. lkn kwa sasa imeshatoka hiyo siasa ni timing na upepo .... kumbuka sasa tunaongozwa na mwanasayanzi kwa hiyo anapiga politcs kwa formular anajihakikishia ushindi kabla mechi haijaanza.
 
Nidhamu hairudi kwa vitisho, mjinga wewe.
Kwa ujinga wa kuandika hvi..this time itarudi hta kwa kukuchapa viboko.
Acha kabisa kumfananisha Lowassa na yule 'uchwara' ambaye anapata hasira na Presha ukimuuliza swali kwa lugha ya malkia.
'Uchwara' kila kukicha anakariri tu salamu za kimakabila na matusi ya kisukuma tu ili kwenda kuropoka kwa watz wajinga.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yawezekana hatogombea ila hi ni political technique ya CDM , inawaandaa CCM wajiandae kikabiliana na ENL at the end of the day, ataibuka Tundu Lisu au mwingine

Post sent using JamiiForums mobile app
 
View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.

" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
Kwa heshima huyu mzee angapumzika apishe vijana wenye mawazo mapya!
 
sio mbaya,muda utasema na wapiga kura pia watazungumza ila sasa ni mapema mno.kikubwa ni ndoto tu mtu ukiipanga lazima itimie.
 
Hizi siasa za kuvuka mipaka kwenye nchi jirani zitakuja kuleta matatizo mbeleni. Hapa nawaongelea EL na Raila pamoja na marafiki zao waliopo madarakani.

How many times magu na raila walishirikiana?
hivi kwanini hamuoni hayo?
 
Nauliza tu maana historia isije kujirudia tukashuhudia laigwanani akihamia ACT wazalendo. Je, katiba ya chadema inaruhusu kutangaza nia mapema maana kule CCM ni hadi pale kipyenga kitakapopulizwa. Ahsanteni!
 
Ingekua Mungu anapokea rushwa ili EL apate urais, ange enda kumuhonga.
 
Naona ile ndoto ya lissu kuwa mgombea urais kupitia Chadema itakuwa imeyeyuka rasmi baada ya mwenye Chama kutangaza nia akiwa ng'ambo.

Kwa kuwa lissu ni mwanasheria nguli namshauri a-challange katiba ya Chadema kuhusu kutangaza nia kabla ya muda.
 
View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.

" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
Sumaye sijui atasemaje hapo. Ngoma inaanza kunoga.
 
Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Sio hilo tu. Pia ni mjuzi wa kutukana. Na kukejeli. Akisaidiwa na lile bilongenyanya
 
Amesema atagombea uRais. Kwa chama gani? Hilo nadhani ni swali tofauti. Zuio la kutangaza nia kabla ya muda ni takwa la kanuni za CCM
 
View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.

" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
Si alisema akishindwa ataenda kuchunga ng'ombe,ahadi ni deni bana mbona haeleweki ,mwenye Chadema huyooo,DJ kibarua tu
 
As much as i dislike the corrupt practices EL pionered while in CCM, he is by far way more capable as a leader than huyu mkurupukaji tuliyenaye.

The fact that CDM are still considering EL as their 2020 candidate says a lot about hte pathetic showing of ngosha.
 
Back
Top Bottom