Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Baba nkwabi ingekua uwezo wake angetuma polisi wakazuie hiyo interview.......

Watanzania haswa magamba jifunzeni kitu kutoka kenya jana wakati wa misa ya kumuaga yule waziri niliona viongozi wote wa upinzani na chama tawala wakiwa wamekaa pamoja na kuwa kama ndugu mpaka kutaniana. Lakini huku kwetu watu hata kuaga mwili wa marehemu walinyimwa eneo kisa tu ni mtu wa upinzani.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Zile millions za michango zilitokea huko, Luwasa alipotoka ccm naye akatoka, akarudi ccm baada kuona 'washirika wakila kibano'.....sasa kaamua kuchomoa baada kuona makinikia yamekwama bandarini
Nadharia dhaifu sana hii. Unataka kusema kwamba CCM inachangiwa na watu wanaoendesha shughuli haramu?
 
View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.

" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
Ikiwa kutakuwa na uchaguzi!
Na kama atakuwa bado yupo hai...
 
Ukishakataliwa mara moja jikate kislesi.

Ukirudi unazibia nafasi wengine.

Sent from my Kimulimuli
 
Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Kwa kutia dili mpaka za 5m/=

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Magu hawezi kabisa interview km hii!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hii ndio inayotakiwa kuweka nia mapema ili uwe umejipanga kutekeleza yale unayofikiria kuwafanyia wananchi sio kushitukizia
 
Angesema hivyo CCM angefukuzwa jamani. Hairusiwi mtu kujitangaza wakati chama hakijatoa ruksa watu kujinadi na huwezi tangaza kuwa utagombea wakati Hakuna kikao cha chama kilichokaa kikuteua. Hivi nyie chadema hilo lichama mnaendesha Kama genge la kuuza nyanya. Huyo lowasa kateuliwa na kikao kipi kuwa mgombea 2020? Kama mlichukua pesa yake jiandaeni hizo pesa mlizochukua zitawatokea puani. Kanunua anasema lolote na hamuwezi kumfanya chochote
 
Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Muda wake ulishapita mkuu, Tanzania inahitaji rais kijana mwenye nguvu na mchapa kazi..hii generation yao imeshapita nitashangaa sana kama cdm watampa kugombea tena 2020..ni mawazo yangu tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Muda wake ulishapita mkuu, Tanzania inahitaji rais kijana mwenye nguvu na mchapa kazi..hii generation yao imeshapita nitashangaa sana kama cdm watampa kugombea tena 2020..ni mawazo yangu tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
Wewe ujana kwenye nafasi ya Urais ni nini? Magufuli ni kijana?
 
Hujitambui wewe ndio maana povu halikuishi.
Tambua kwanza ujinga unaopost hapa ndio uhoji kujitambua kwangu..wengi hapa hzo kengele ndio znaendesha vchwa vyenu, zngekuwa znakatwa ili akili ijue kufikir vzr ingefaa sana..!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
This Man is blessed with inspiration.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hairusiwi mtu kujitangaza wakati chama hakijatoa ruksa watu kujinadi na huwezi tangaza kuwa utagombea wakati Hakuna kikao cha chama kilichokaa kikuteua.
Hajasema yeye ni Mgombea bali kasema atagombea na kugombea Urais ni mchakato. Sasa ni wapi amesema kwamba yeye kateuliwa kugombea na wala CHADEMA hawajafanya maandamano kumwambia yeye anafaa mwaka 2020 bali huo ni utashi wake.
 
JEE tukifuatilia katiba ya Chadema, hii imekaaje?

JEE atakuwa mgombea bila kupingwa?

JEE ukawa ndio imekwisha?, NA Chadema haina nia tena ya kushirikiana NA vyama vya upinzani katika muungano wa UKAWA?

Jee wanachama wote wa Chadema wanaunga mkono kujitangaza kwa Lowassa bila kushauriyana NA chama chake, ama yeye NA Mbowe wameshakubaliana.
 
Back
Top Bottom