Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

nimekua nikimfuatilia sana lowassa lkn sijapata kuona hii style ya kuongea dk10,9,7 hv kama atakuwa anaongea hv hv kwa dk hizo si atatukosesha kura huyu. wana ukawa wenzangu mulio karibu nae mwambieni basi
 
Labda nikuulize wewe.

Mimi ni Queen Esther. Uwanja wa kina mama ndio haswa unaonihusu. Nitafungua Uzi mwingine wa Madame Samia wakati ukifika. Kwa hapa zingatia kichwa cha habari tafadhali. Usitoke nje ya mada.

Queen Esther

Yakina mama yanakuhusu nn fatilia ya samia basi
 
Eleweni jamani,mkutano ule Lowassa kaalikwa tu,ulikuwa unahusu wanawake wenyewe ndio maana Mama Regna ndie aliekuwa akiongea na wanawake wenzake,kina Mbowe,Mbatia,Babu Duni,Lowassa niwaalikwa tu.
 
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.

Unayajua maumbile wewe ?
 
Ni bora aliyeongea dk 8 bila kuahidi uongo kuliko kutumia saa 1 kuongea hoja ambazo haziwez tekelezeka
 
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.

Duh kwahiyo alikuwa anawaonyesha wanawake maumbile?kiswahili hiki!
 
Nafikiri hukuwa makini unapo msikiliza Lowasa amesema changamoto walizo ziahinisha wamezisikia na wataeleza utatuzi wake siku ya juma mosi, hawajaanza kampeni alisema hawezi kuzungumzia mikakati maana itakuwepo kwenye Ilani atajibu juma mosi na ni kweli hapo alikataa kulizungumzia. Kuhusu wimbo wa Aliselema na mchakamchaka hakuna mwenye hati miliki ya wimbo huo, ni wimbo wa kuimbwa na kila mtu maana yake ni moja tu kama magufuli angekuwa amesha pewa hatimiliki na baraza la wasanii ningekuelewa duh nlifikiria sana kabla hujaongea na kuamua kuhamia upande wa pili
 
Back
Top Bottom