Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Kwa hiyo lile TANGAZO la Mwenyekiti wa BAWACHA Madame Halima Mdee ilikuwa anapiga usanii????

Queen Esther

Hanna akili! Mlitaka akidhi kiu yenu wakati kampeni haijazinduliwa? Angeeleza kwa basis IPI ilihali ilani ya uchaguzi haijatangazwa. Huhitaji PhD kujua hili!
 
Kwani waongeaji wamelifanyia nini taifa? sisi hatuitaji ngonjera, tunahitaji wachapa kazi.
 
Yaani leo nimeamini kwamba Lowasa hana uwezo wa kujena hoja. Leo kaishia kusema kuwa anadeka kwa akina mama waliohudhuria mkutano wa BAWACHA

Si ni bora Lowassa kuliko yale Matusi na Mipasho iliyotolewa na Wazee wa CCM mbele ya umati wa watu? Mtawakoma watanzania ifikapo October 25.
 
katika moja ya hotuba za mbowe aliwah kusema hawawezi kumpokea bubu... leo nmeamin

Pia hajui kucheka cheka kama jamaa yetu.
Watz timezoea porojo, na tunaridhika na hotuba ndefu zilizotufikisha hapa kwenye umaskini.
 
Fridaaaa!!!! Ulikuwepo kweli mkutanoni???
Juzi alipoenda kwa mama Ntilie bado hakujua shida ya mwanamke aitwae mama lishe???? Mbona alisema anatembea wa TZ ili kujua shida zao, ndio maana akapanda hadi Dala Dala. Tena alitetewa kweli kweli.

Kumbe alikuwa anapiga USANII!!!

Queen Esther

Ameingea point nzuri sana amewaagiza wanawake wadiscuss changamoto znazowakabili then wawasilishe....
 
Ivi ukawa na kaole ccm nani waigiziji.Msipende kuleta utani kwenye mambo muhimu nyie. Mmekaa madarakani miaka mingapi na mlifanya nn????? Leo anakuja Pombe kutuambia eti serikali yake itafanya makubwa!!!!! Yapi? Iyo TV yako si ina vitufe... Usicheki habari za ukawa kwani umelazimishwa???? Ndorobo wewe
 
Hapa ni mikakati tu si masuala ya hotuba. Tumezoea hotuba ndefu za mbwembwe nusu karne n aushee zinalea umaskini tu. Mpaka sasa wakatoa na nyingine tarehe 23/08/205 ambapo walituita malofa, walalahoi na wapumbavu. Binafsi mimi si mwongeaji sana ila ni mwandishi mzuri wa mada za taaluma yangu. Na pia ni mtu wa vitendo. Wewe nipe key board tu utashangaa.
 
cha msingi jumamosi tunataka lowasa apewe saa nzima ya kuhutubia pale jangwani. Ili atupe sera na mipango mbalimbali iliyopo katika ilani ya ukawa. Kitendo cha yeye kupewa muda mfupi hakifai...
thubutu!
 
Huyu Lowassa ningeshndana naye urais lazma angenishnda,,,jamaa hatabiriki,,style ya kuanzia kampeni kwenye daladala,leo Katoa kaz ya kutafutiwa kura badala ya kutoa hotuba na bado watu wanamkubali,,,,ajabu magufuli anatumia nguvu nyingi na fitna juu lakini hali ni ngumu,,,Duuh!
 
Kuna watu wanalazimisha kuwa maadui wa ukawa na Lowassa kwa kurise hoja za kitoto...
 
Ndio maana hata mimi siwezi kabisa kuongea, lakini visenti vyangu vinapumua HSBC Switzerland
 
Queen Esther mkuu ukizungumzia katiba hata JK aliikana bungeni na ndo ulikuwa msimamo wa ccm wote bt kama kwel wanawake wa TZ mnataka kujikomboa msisubl huruma ya maguful au lowassa ni kutaka katiba ya warioba irudi hapo ndo mtakuwa mmejikomboa kiukwel na ndo ajenda ya ukawa kurudsha ktba ya warioba kuliko kusubl maneno matam ya wanasiasa na kudanganywa na viti maalum na vyeo vya kupewa pambaneni ktba ya warioba irud kwan kule ndo kuna haki zenu zote leo ata aje cuf,chadema,ccm,act kutawala bt mtabaki wanawake kama strong institution na amtaitaji huruma ya chama au rais ili mambo yenu yaende vzr cdhan kama kuna m2 ambae atakuja kuwakata kiu wanawake kama unavyosema zaid ya mambo yenu haki zenu kuingizwa kwenye katiba leo ata akija kiongoz akasema kuanzia leo wanawake mtakuwa hv au vle au ntawapa hki au kile bt kama hakipo au havipo kwenye katiba avitatekelezeka na havitokuwa na nguvu wanawake msipiganie strong people piganien strong institution
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom