Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Ivi nyie mlitegemea Lowassa aanze kuongea uongo kama mlivyozoea. Huyo ndio Lowassa,io ndio Chadema hao ndio Ukawa. Kwanza mkutano ulikuwa ni wa Bawacha Lowassa alikaribishwa na katika kukaribishwa kwake yeye aliwaomba akina mama KURA. Kuomba kura sio lazima useme nitawagaia kila mama mifuko ya viroba, cjui mjirodheshe, mara ooh nitafungua mahakama ya mafisadi. Yote hayo yapo katika katiba ya Tanzania wala haliitaji kusema ingia madaraka na kuvitekeleza. Unataka awe kama Tezi dume nitawanunulia meli, nitawajengea uwanja wa ndege. Kiongozi utakiwi kuongea sana onyesha kwa vitendo hapa kwa Chadema/Ukawa hakuna maneno mengi. NI UTEKELEZAJI TU SUBIRI KUANZIA TAREHE 26/10/15

Unajua maana ya kampeni na kujinadi? Kubali kuwa hamjajipanga wacha kutetea madhaifu ya viongoziwako feki
 
Wewe mchovu kama thread yako anayesimama jukwani name kuanza kushangaa kwanini hospital hakuna madawa ili halo maduka ya Jirani yana dawa Nani msanii?amekuwepo ndani ya binge miaka 15 .na akiwa hajawahi kuhoji bungeni au kwenye baraza. La mawaziri kwani serikaki inatoa fedha na madawa lakini hospital hakuna dawa anakuja kushangaa Leo akigombea urais si ndio msanii kabisa huyo.
 
Mwaka 1980, Ilani ya CCM ~ Tutaondoa Umaskini

Mwaka 1985, Ilani ya CCM _ Tutaondoa Umaskini

Mwaka 1990, Ilani ya cCM _ Tutaondoa Umaskini

Mwaka 1995, Ilani ya CCM Tutaondoa Umaskini

Mwaka 2000 Ilani ya CCM- Tutaondoa Umasikini.

Mwaka 2005 Ilani ya CCM- Tutaondoa Umasikini

Mwaka 2010 Ilani ya CCM- Tutaondoa Umasikini

Mwaka 2015 Ilani ya CCM- Tutaondoa Umasikini

Kauli mbiu ya mwaka huu 2015 Hapa Kazi Tu.

Je miaka mingine ilikuwa: Sasa Uzembe Tu???

Mpumbavu na Lofa Wenzangu tukutane October 25!
 
Fridaaaa!!!! Ulikuwepo kweli mkutanoni???
Juzi alipoenda kwa mama Ntilie bado hakujua shida ya mwanamke aitwae mama lishe???? Mbona alisema anatembea wa TZ ili kujua shida zao, ndio maana akapanda hadi Dala Dala. Tena alitetewa kweli kweli.

Kumbe alikuwa anapiga USANII!!!

Queen Esther
Acha hizo wewe. Kila jambo na wakati wake. Juzi alienda kuwasalimia. Leo amewapa kazi. Na Samia alipoenda Huruma Hospital alienda kufanya nini? Umetumwa hapa mwambia hatuelewi. Hata Lowassa akiwa katika kukata roho (Mungu pitisha mbali) tutamchagua. Yule wa enzi alianguka siku ya mwisho ya kampeni si tulimchagua? akaendelea kuanguka na tukamchagua? Sasa basi subiri tulia sindano ipite hadi kati vain.
 
Ukawa wana mchezo na watanzania, Lowassa hajaongea kitu amewapotezea mda mama na dada zetu.
 
Kama kweli mko 'siriazi' basi acheni usanii, kipindi hiki cha kampeni sio wakati wa kufanya maigizo na kuyarusha 'laivu' kwenye luninga!

mkuu mbona una haraka kama mkojo wa asubuhi ?, kwanza ya Ukawa hayakuhusu fuatilia Pombe wenu anavyozunguka na maneno ya kukaririshwa. Ya Ukawa waachie wenyewe watajua wenyewe nini wafanye na kwa wakati gani. Naona mmechoshwa kusikiliza sera zilezile za ccm mpaka mnapata hamu kusikiliza sera mpya za ukawa
 
Lizaboni...soma vizuri cv ya EL kabla hujaropoka maneno yako ya kijinga mbele ya wenye akili.
 
dah! kuna watu wana majina mazuri lakini akili hawana kabisa bora mtu jina lake lingefanana na akili zake ingeepusha kero za kujadili jambo na mabwege.
 
Kama zzk alivyo vuna kufukuzwa cdm

Mkuu naamini wewe ni mwanadada na umehudhulia kukusanyiko cha vikundi vya kinamama pale Millenium Towers...tupe mrejesho, mgombea wa UKAWA aliwafikisha kileleni?
 
Jamani mbona tunasumbuka kubashiri mambo ambayo Mwamuzi wake yuko Juu? Kikubwa tuendelee kumwomba Mungu ili aandae mioyo ya watanzania kuchagua Rais aliyemwandaa kutawala.
 
Huyu Lowassa ningeshndana naye urais lazma angenishnda,,,jamaa hatabiriki,,style ya kuanzia kampeni kwenye daladala,leo Katoa kaz ya kutafutiwa kura badala ya kutoa hotuba na bado watu wanamkubali,,,,ajabu magufuli anatumia nguvu nyingi na fitna juu lakini hali ni ngumu,,,Duuh!
 
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther
Jamani sikuwa na mpango wa kukujibu ila naona nikupe angalizo, Lowasa si wa hivyo yule anacheza na akili za CCM kuliko unavyofikiri. Mipango yake haikamatiki kwa uelewa mdogo hata kidogo, anatulia na kutafakari karata zake azichezeje. Kama unataka kuamini ninachokisema subiri hiyo jumamosi alafu uje uniambie mwenyewe nini atasema. Narudia tena Lowasa sio kama mnavyotaka awe. Anawasomeni bila kujielewa
 
Magufuli yeye anapambana na KIKWETE, hapambani na LOWASSA, ndio maana LOWASSA njia nyeupeeeeeeeeeee!

LOWASSA ndiye Rais ajaye!!!!!!!!!!!

Asubuhi ya tarehe 25.10.2015 TUTAMTANGAZA WENYEWE, HATA KABLA YA TUME!!!!!!
 
Sasa kijana kilambalambila kwani ule ni uzinduzi wa kampeni? Wadau najua madesa yametuadhiri lakini tutjitahidi kutumia hata zile alizo tujalia Mola wetu jamani hili ndilo linatufanya kupoyeza Imani hata kwa makampuni ya kigeni hawawezi kutuamini kutokana na kiwango kidogo cha kuchambua hoja.

Kama mgombea makini unapopata nafasi ya kuongea na wananchi ongea kweli kweli hadi watu waseme muda umeisha 😆😆😆😆
 
Muda wa kampeni ni mfupi, why wiki nzima inapotea kwenye daladala na masokoni? Kuna tatizo gani?
Hiyo ndiyo kampeni yenyewe kama hujui, ndiyo maana leo Tanzania nzima ilisimama kumsikiliza mgombea wa Ukawa wakati Pombe hajulikani alipo.
 
Jamani sikuwa na mpango wa kukujibu ila naona nikupe angalizo, Lowasa si wa hivyo yule anacheza na akili za CCM kuliko unavyofikiri. Mipango yake haikamatiki kwa uelewa mdogo hata kidogo, anatulia na kutafakari karata zake azichezeje. Kama unataka kuamini ninachokisema subiri hiyo jumamosi alafu uje uniambie mwenyewe nini atasema. Narudia tena Lowasa sio kama mnavyotaka awe. Anawasomeni bila kujielewa

Hicho ndicho kinachowafanya ccm wapanic maana wanamjua vizuri jinsi Lowasa alivyo mtaalam wa siasa
 
Eti, 'Tunataka Lowassa apewe saa nzima ahutubie'...kama si hoja za kitoto ni nini? Kweli mtu na akili yako unatoa hoja kama hiyo?
 
Ivi ukawa na kaole ccm nani waigiziji.Msipende kuleta utani kwenye mambo muhimu nyie. Mmekaa madarakani miaka mingapi na mlifanya nn????? Leo anakuja Pombe kutuambia eti serikali yake itafanya makubwa!!!!! Yapi? Iyo TV yako si ina vitufe... Usicheki habari za ukawa kwani umelazimishwa???? Ndorobo wewe

Tv yangu haina kitufe
 
Back
Top Bottom