Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

hakuna kitu hapo hawa pccb ndiyo walio wakamata wale walio toa rushwa iringa fikirieni nini kinaendelea sasa
 
Takukuru Leo wameamua kumgeuka Edward Lowasa na vibaraka wake katika marudiano ya uchaguzi wa Arumeru. Katika sakata Hilo katibu wa uvccm wilaya ya Monduli ndugu Ezekiel Mollel ametupwa rumande Mara baada ya kukamatwa na simu yake ilipo pekuliwa na kukutwa na mesej alizokuwa Akiwasiliana na Lowasa kuhusu kuchukua hela kwa askofu na mathius manga kwa Lengo la kwenda kuwahonga wajumbe wa arumeru Mashariki.

Katibu huyo amekiri kupewa maelekezo hayo na Lowasa na kuomba asamehewe kwa kuwa Lowasa ni kiongozi mkubwa yeye asingeweza Kuwa na ujasiri wa kumkatalia. Hadi wakati huu Ezekiel Mollel na Askofu wapo rumande.

Pia katika tukio lingine Fred Lowasa amethibitika kumhonga ticket ya ndege Elirehema kaaya ili amsaidie Sioi aweze kushinda. Kwenye simu ya elirehema Kaaya zimekutwa mesej Kuwa nakulipia ndege pamoja na kukupa lile fungu la kuwapelekea wajumbe. Kwa ushahidi huu hadi sasa elirehema Kaaya yupo rumande.

Wakati wowote mambo haya yatapelekea wahusika kupelekwa mahakamani.

Wana Arumeru mashariki wafanye uchaguzi kwa amani na utulivu na tena wasiwe na hofu yoyote.

Naam sasa kweli serikali ya jk imeamua kama noma na iwe noma,huyu alitaka kujifanya yeye ni mkubwa kuliko chama na serikali yake..kitu kingine inaonekana lowassa mambo mengi ya kimkakati alikua akimtegemea sana rostam aziz maana tokea rostam aziz ajiweke kando na siasa lowassa strategy zake mwenyewe karibu zote zimekuwa zikisambaratishwa mapema kabla hazijaanza..

Hongera takukuru arusha kwa utumishi uliotukuka na utii kwa amiri jeshi mkuu,mmeyashinda majaribu mkaitanguliza nchi,mzee manumba si mbaya ukichota busara hizi za takukuru arusha.
 
Naam sasa kweli serikali ya jk imeamua kama noma na iwe noma,huyu alitaka kujifanya yeye ni mkubwa kuliko chama na serikali yake..kitu kingine inaonekana lowassa mambo mengi ya kimkakati alikua akimtegemea sana rostam aziz maana tokea rostam aziz ajiweke kando na siasa lowassa strategy zake mwenyewe karibu zote zimekuwa zikisambaratishwa mapema kabla hazijaanza..

Hongera takukuru arusha kwa utumishi uliotukuka na utii kwa amiri jeshi mkuu,mmeyashinda majaribu mkaitanguliza nchi,mzee manumba si mbaya ukichota busara hizi za takukuru arusha.
Utasemaje hongera kumbe waliokamatwa ni ma capos tu. Godfather bado anatamba!
 
Watu wamechoka hata rushwa yenewe haina dhamani tena hela imeshuka dhamani. Time to give up magamba.
Mpaka 2015 Lowasa atabaki na hela tena kweli? na hizi hela anachota wapi?
Kama aliiba haziishi?
 
hii nchi utasema ni kaole sanaa group...sasa....

BOSS kuna siku uliniuliza nilichokua nakisema mara kwa mara kuhusu ule mkutano waNEC ambao bwana Lowassa alimshitaki Nape na pia waandishi wahabri wapenzi walowassa wakawa wanatuabdikia kwamba lowassa alimuumbua mwenyekti wa ccm kikaoni kwa kumuhusisha na Richmond na kudai alipiga simu auvunje mkataba wa richmond boss jk akakataa;magazeti hayo yakampamba sana lowassa kwa takriban wiki 2 baada ya kikao kile kaibuka shujaa eti..!

Lakini mimi nikawa nasisitiza sio kweli kwamba kaibuka shujaa bali ni upotoshaji tu ukweli ni kwamba mwenyekiti ndio kaibuka shujaa kwa kuwa alitaka kibali cha nea ambako lowassa tulikua tunaaminishwa kwamba ana nguvu na kibali hicho cha kulipeleka suala la kujivua gamba kamati kuu kimshatolewa na nec...

Nakuomba tuendelee kwenda pamoja na usisite kunikumbusha mara kwa mara unapoona mambo niliyokuwa nayafikiria yatakua mbona hayawi..?
 
kwanini EL hajaumbuka hapo? yeye ni anaumezea urais mate? sasa mtu mwenyewe anahonga honga hivi unafikiri tukimpa urais si anaiuza nchi huyu

Ndo ishara ambazo Mungu anawaonyesha waTZ mapema kabla hatujaingia kwenye janga jingine kama au zaidi ya hili tulilopo nalo. Nasi tuchukue hatua tangia sasa
 

Anayeumbuka ni Edward Lowassa kwa sababu yeye ndiye aliye andika Message kwa Mollel kumwagiza akachukue Fedha kwa Askofu Mathias ili kwenda kununua ushindi Arumeru.

( Lowassa anawekeza makanisani ii siku ikifika Maaskafu watumiwe kama chuppi au Toilet Paper kwa manufaa yake)
Kaaya naye pia ameumbuka kwa tamaa yake ya kupanda Pipa kwa kile anachodhani ni bure, na tabia kutamani mshiko bila kujiuliza maswali muhimu.

Edward Lowassa and Company ni Nuksi sawa na nguruwe kukutwa kalala msikitini.

Mossad rule "To catch a criminal follow money trails"
Nani aliwaambia kwamba Enternet na Simu za mkonin ni siri??? Wajinga kweli!

Sasa aliyeumbuka hapo ni EL au Kaaya?
 
Kwanza mi naombea EL ndio angewekwa lupango. Ila hapo waliowekwa lupango ni watu tofauti..
Sioi na EL wapo wanatanua mtaani, hata hawajahojiwa.

Ndo ujue Tz hii sheria zipo kwa ajili ya wanyenge
 
Waambie wajaribu kumkamata EL waone moto hao viwavi.

wamkamate kwa kutuma msg kwa askofu au??acha kujifariji na huu ni mwanzo tu,lowasa na genge lake haya mambo amekua akiyafanya for years na takukuru usifikiri walikua hawajui wale wako well trained kwa taarifa yako,so walikua wanajua kila kitu na information walikua wanazitoa pahala muafaka, lakini kuna "taasisi" kubwa tu ilikua inamlinda sasa 'taasisi" hiyo imemtapika baada ya kuona habebeki maana kabebwa mgomgoni kwa tamaa na haraka anafanya hila za kuichana mbele iliyombeba au kukata tawi alilokalia,"taasisi" hiyo ikasema kimoyo moyo kama noma na iwe noma kujuana isiwe sababu ndio maana haya mambo watu kama nyie mnayaona labda yanamtokea kwa bahati mbaya au labda ni mara ya kwanza kwa genge la lowassa kufanya haya toka tupate uhuru...
 
Iwapo yaliyosemwa ni kweli basi hali ya nchi ni tete. Askofu gani huyu anayetajwa? Kwa nini wasiwakamate watoa fedha sawa na wasambaza fedha? Hawa takukuru ni genge jingine la uhalifu nchini. Sina imani nao hata kidogo kwani baada ya mida mtasikia waliokamatwa wameachiliwa kwa uchunguzi au ushahidi wa takukuru haujitoshelezi. Wizi mtupi!

Kumbe huu mtandao wa el umeingia makanisani kama harambee ya kuchangia kanisa kumbe anatengeneza mtandao wa rushwa kwaajili ya 2015
 
UnakuwaGodfather kwa sababu umesimama juu ya mabega ya ya wapambe.
Wapambe ni nuksi kuliko Lowassa mwenyewe.
Kuua Himaya ya Lowassa unawabana Pummbu wapambe mpaka waseme.

Himaya ya Edward Lowassa haisimami kwa sababu ana nguvu za kipekee ni kwa sababu ana Lundo la Hungry Jacks waliotayari kutekeleza amri yake hata kwa ujira sahani ya chipsi.
Nguvu ya wapambe hawa inatokana na pochi ya Lowassa na si mapenzi yao kwa uongozi na uzalendo wa Lowassa, wapambe hawa wangemtumikia Ibilisi bila shida kama akiwalipa.
Kiwatiacho nguvu, nia na hamu wapambe hawa ndiyo udhaifu utakaopelekea Himaya ya Edward Lowassa kufa . Hapendwi Edwad Lowassa inapendwa pochi na si poch ya Edward Lowassa Tu ni pochi yeyote hata itokayo kuzimu.

Maaskofu kaeni Mkao wa kwenda kuzimu huku mmetinga Majoho na Mikongojo yenu.

Utasemaje hongera kumbe waliokamatwa ni ma capos tu. Godfather bado anatamba!
 
kwanini el hajaumbuka hapo? Yeye ni anaumezea urais mate? Sasa mtu mwenyewe anahonga honga hivi unafikiri tukimpa urais si anaiuza nchi huyu

amesahau kutuaminisha taarifa yake hii, aweke chanzo cha habari kwanza!
 
Back
Top Bottom