Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

kwa hiyo kwa mtazamo wako wewe ukihudhuria kwa remote ndio unakua na nguvu nyingi zaidi kuliko ukiwa mmoja wa wajumbe wanaoshiriki kufanya maamuzi sio?hapo ndio unapozidi auchanganya mambo mzee,leo naona ungepumzika tu hauko sawa kabisa aise sijui ulilala wapi usiku wa kuamkia leo
Hasa kama "remote" yenyewe ina "batteries" mpya! Nisome unielewe vizuri KK. Usirukie kunijadili mimi. Jikite kwenye hoja yangu tu.
 
Nashukuru kwa kuifafanua vizuri hoja yangu mwalimu KK. Sekretariet ina watu wachache zaidi kuliko CC. Nadhani kwa muundo wa sasa hawafiki 10. Iweje mazungumzo yavuje kirahisi hivo na wasimjue msaliti wao! KK, kwa nini kura za maoni CCM zinarudiwa? Ni kweli Mwigulu simfahamu. Ni mtu mpya sana ndani ya CCM na sio kada.

hoja yako ya msingi ni ipi hasa?lowassa kujua siri mapema za kilichozungumzwa kwenye sekretariet na lowassa kuwa na nguvu?kwa sababu nimekwambia kama kujua siri mapema hata sisi hapa jf tumo au kubenea na gazeti lake mbona wanapata siri za ndani mpaka waliwahi kuvunja rekodi kikao cha watu watatu tu akiwemo jk kilifanyika ikulu kuelekea uchaguzi 2010 mwanahalisi wakakiweka hadharani ina nao wana nguvu hizo?

Mi nadhani ni kuweza kuzuia maamuzi halali ya vikao au kuzuia hoja za athari kwako zisijadiliwe au kufikishwa kwenye vikao lakini kama umepoteza nguvu hiyo wewe unabaki kuwa nyoka wa kibisa tu,unatisha kwa kuwa ni nyoka lakini huna madhara yeyote hata ukijua siri mapema.

Pia unajichanganya tena unaposema mwigulu sio kada,hivi kada maana yake nini labda?ni mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu ndio anaitwa kada au kada wa ccm ni mtu wa aina gani,naomba ufafanuzi hapa.
 
Mtakufa kwa BP nyie na chuki zenu dhidi ya EL.Naona hamumjui EL
 
Joseph Peter. Niko na mashaka kwamba mambo mengi umeandika humu ni kuchafuana sidhani kama kuna ukweli. Lowassa atume sms na jambo lenyewe linahusu rushwa? Pengine amechanganyikiwa siku hizi!
 
Hasa kama "remote" yenyewe ina "batteries" mpya! Nisome unielewe vizuri KK. Usirukie kunijadili mimi. Jikite kwenye hoja yangu tu.

hakuna nilipokujadili baada nashangaa tu leo umepatwa na nini kwani ninakuelewa ni mtu unaetoa hoja zenye mashiko daily lakini sasa ninapoona mtu kama wewe unajaribu kuamini bila mafanikio kwamba ukishiriki kikao kwa remote ndio unakuwa na guvu zaidi kuliko wajumbe wanaoshiriki kushindana kwa hoja na kuibuka na maamuzi ..hiki kinaweza kuonekana ama kutafsiriwa kama kioja cha kufungiwa mwezi february 2012!
 
hoja yako ya msingi ni ipi hasa?lowassa kujua siri mapema za kilichozungumzwa kwenye sekretariet na lowassa kuwa na nguvu?kwa sababu nimekwambia kama kujua siri mapema hata sisi hapa jf tumo au kubenea na gazeti lake mbona wanapata siri za ndani mpaka waliwahi kuvunja rekodi kikao cha watu watatu tu akiwemo jk kilifanyika ikulu kuelekea uchaguzi 2010 mwanahalisi wakakiweka hadharani ina nao wana nguvu hizo?

Mi nadhani ni kuweza kuzuia maamuzi halali ya vikao au kuzuia hoja za athari kwako zisijadiliwe au kufikishwa kwenye vikao lakini kama umepoteza nguvu hiyo wewe unabaki kuwa nyoka wa kibisa tu,unatisha kwa kuwa ni nyoka lakini huna madhara yeyote hata ukijua siri mapema.

Pia unajichanganya tena unaposema mwigulu sio kada,hivi kada maana yake nini labda?ni mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu ndio anaitwa kada au kada wa ccm ni mtu wa aina gani,naomba ufafanuzi hapa.
KK,
CCM ilikuwa na vyuo vyake kwa ajili kuandaa makada wake. Chuo kikubwa kabisa kilikuwa hiki cha hapa Kivukoni. Ulikuwa ukihitimu huko ndipo unaitwa kada. Siku hizi hata RA niliwahi kusikia anaitwa kada! Tuyaache hayo. Hayako kwenye maudhui ya uzi huu.
Usije ukadhani kila kinachoandikwa kwenye magazeti na hasa MwanaHalisi ni cha kweli.
 
Mtakufa kwa BP nyie na chuki zenu dhidi ya EL.Naona hamumjui EL

umeamka?kwanza ungejaribu kupiga simu kwa fred au peter serukamba kabla ya kukurupuka ukiwa huna hoja yoyote ya utetezi zaidi ya mpasho kwamba tutakufa na BP kwa chuki dhidi ya mpendwa mwanaume wenu wa shoka ambae ccm inaelekea kumshika pabaya kama juliua malema alivyotendwa na ANC,Maana nae alikua kama lowassa akijivuna kwamba yeye na genge lake ndio wamemuweka jacob zuma madarakani,cc ya anc imemvua uanachama,kumbuka suala la lowassa kuvuliwa gamba sasa liko mikononi mwa cc ya ccm haliko nec tena;soma alama za nyakati brother!ndio unasikia watu wanapata stroke huko unadhani mchezo?
 
KK,
CCM ilikuwa na vyuo vyake kwa ajili kuandaa makada wake. Chuo kikubwa kabisa kilikuwa hiki cha hapa Kivukoni. Ulikuwa ukihitimu huko ndipo unaitwa kada. Siku hizi hata RA niliwahi kusikia anaitwa kada! Tuyaache hayo. Hayako kwenye maudhui ya uzi huu.
Usije ukadhani kila kinachoandikwa kwenye magazeti na hasa MwanaHalisi ni cha kweli.

ila nidhani kila anachokisema lowassa kuhusu "nguvu" zake ama wapambe wake ndio cha kweli tena kweli tupu sio?
 
Hii habari ni UDAKU TUPU.Haina credible source zaidi ya chuki.
 
hakuna nilipokujadili baada nashangaa tu leo umepatwa na nini kwani ninakuelewa ni mtu unaetoa hoja zenye mashiko daily lakini sasa ninapoona mtu kama wewe unajaribu kuamini bila mafanikio kwamba ukishiriki kikao kwa remote ndio unakuwa na guvu zaidi kuliko wajumbe wanaoshiriki kushindana kwa hoja na kuibuka na maamuzi ..hiki kinaweza kuonekana ama kutafsiriwa kama kioja cha kufungiwa mwezi february 2012!
KK,
Kura za maoni AruMeru Mashariki kwa wagombea wa CCM zinarudiwa kwa nini? Sababu alooitoa Nape sio. Vinginevyo watu kama Kigwangala waliteuliwaje kugombea na CCM hiyohiyo na kanuni hiyo ikiwepo!
 
Hii habari ina ukweli ndani yake.

Askofu na Mathias Manga ni wachimbaji wa madini na wanapesa sana kwa sasa, na wote ni madiwani kupitia CCM. Lowasa anawatumia hawa jamaa kama ATM ya kutimiza malengo yake. Ushauri wangu kwa Askofu na Manga ni kuwa waachane na siasa za maji taka wabaki na udiwani wao na pesa zao, kwani kwa mwendo huu hata hizo hela zao zitaonekana kama za kifisadi.

Manga ni mfadhili wetu mkubwa sana hapa mgodini hivyo tusingependa apate shida yoyote.
 
ila nidhani kila anachokisema lowassa kuhusu "nguvu" zake ama wapambe wake ndio cha kweli tena kweli tupu sio?
Nguvu ya Lowasa iko kila mahali kuanzia humu JF. Ndio maana hatuishi kumtaja karibu kila siku. Kila TAASISI au KIKAO cha CCM Lowasa ana nguvu ya peke yake. Nilikwenda Bungeni kikao cha bajeti mwaka jana, Wabunge wengi wanamwabudu na kumsujudia Lowasa.
 
Mtakufa kwa BP nyie na chuki zenu dhidi ya EL.Naona hamumjui EL
huyu EL sijui km atatoboa 2015, asiporest inside peace kwa presha bas ni kwa ugonjwa wa moyo au kwa maini kuungua na mawisk anayobwia,
 
Safari hii hakuna pa kupumulia!!!

Hivi kweli mimi hapo ndiyo nashindwa kabisa kuelewa kuwa Takukuru ipo kwa
ajili ya wanyonge tu?sasa kama huyo Katibu alikuwa akiwasiliana na Lowasa kwanini atiwe nguvuni Katibu
pekeyake na Lowasa aachwa ni kwakuwa yuko juu ya sheria?
 
Hawana ujasiri wa kumkamata Lowasa..
 
KK,
Kura za maoni AruMeru Mashariki kwa wagombea wa CCM zinarudiwa kwa nini? Sababu alooitoa Nape sio. Vinginevyo watu kama Kigwangala waliteuliwaje kugombea na CCM hiyohiyo na kanuni hiyo ikiwepo!

mzee issue hapa tunataka utuoneshe zilipo nguvu za lowassa hutuonyesha unatapa tapa tu mara utupeleke ukada mara uturudishe kwenye remote ya batteries mpya,tuonyeshe nguvu za lowassa alizobaki nazo,mimi kukurahisishia ntataja alizokuwa nazo ambazo sasa hana tena..

-alikua waziri wetu mkuu kwa miaka isiyozidi mitatu,sasa sio waziri mkuu tena wala hayuko kwenye cabinet
-alikua mjumbe wa kamati kuu sasa hayuko tena huko
-alifight sana kurudi kwenye baraza la mawaziri hakuweza kurudi
-yeye kupitia kwa wapambe wake kina bashe waliapa kwamba ubunge wa igunga unaenda upinzani wakashindwa vibaya sana
-alipenda sana suala la kujivua gamba lizimwe na nec lisiende kamati kuu akashindwa licha ya kulilia sana aonewe huruma na mwenyekiti eti kwa kuwa na yeye mwenyekiti aliwahi kuonewa huruma na mkapa haikumsaidia sana
-aliomba nape aadhibiwe kwa kumpulizia vuvuzela ambalo hapendi kulisikia masikioni hakuna aliyemsikiliza
-kwenye nec ya juzi aliwatumia wapambe wake kingunge na peter serukambaa wapinge mabadiliko ya katiba yatakayomchinja yeye kwenye uchaguzi ujao wa ccm lakini wajumbe wa nec ileile ambayo huwa tunaambiwa ana nguvu wakasema hapana mzee tunamuunga mkono mwenyekiti akiimarishe chama,akashindwa tena kwa mar nyingine ndani ya nec yake
-Na sasa kuna hili mkwewe kugombea ubunge arumeru ndio watu wake wamekamatwa na jina lake kwa mara ya kwanza limetajwa na vyombo vya usalama...
 
Hii habari ni UDAKU TUPU.Haina credible source zaidi ya chuki.

naona we kazi yako ujinga tu hvi nyie watu wenzenu wanalamikia ukoloni nyie mnausifia au we mwenzetu ni personal secretar wa lowasa acha ujinga m.ta..k .o. yako we kama nani upewe source umetumwa kuchangia kaa kimnya pita kama wengine
 
Back
Top Bottom