Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

nilikuwa hapo uwanjani nikashuhudia watu wakimkimbilia hadi alivyo ingia ndani ya gari na umati ukaanza kumsindikiza wakiimba raisi raisi
 
Mnauza nyanya mbovu mnakazi kweli mpaka ikubarike sokoni mmetembea sana
 
Tuache utani jamani EDDO Lowasa Handsome sana aseee dahhhh, ANAZIDKUWA MTAMU KAMA MCHAROOO
 
Back
Top Bottom