Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

wataandika hii ya Lowasa!
Ha ha haaaah!, yaani ikitokea kila mmoja akafanya tukio nadhani waandishi watapewa muongozo sasa!!!!!..Lowassa, Mbowe, Lissu, Lema, Sugu, Zito, Msigwa, Mbatia........waendeleze tu kila mtu afanye tukio. wengine kimya kimya wengine kwa mihadhara,....habari zinazopatikana kwa usiri ndizo huwa zinafuatiliwa sana
 
Hayo ndo mambo yanayotakiwa na huyo mzee hataki maandamano. Hakuna atakayemzuia kwa mambo ya kimaendeleo kama hayo na akitoka hapo aende hata Lindi ambako maonesho hayo yaafanyika Kitaifa

Kwani alipozuiwa Muhimbili alikuwa anaandamana?
 
chato ndio kule ambako mamvi alijichato????nauliza tu povu NO
 
Back
Top Bottom