Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

wachangie za nini elimu siyo madawati,elimu ni walimu na vitabu, madawati ni kipengele kidogo sana,badala muimarishe maslahi ya walimu mnahangaika madawati,mbona sisi tulipata madivisheni one chini ya miti
Kwa jinsi unavyojenga hoja, huna division one. Na kama unayo, ULIIDESA!
 
Namuona mfalme wa Amani na rais wa mioyo ya Watanzania akizidi kutakata na kitambi juu,
 
Sijui kama watu hawajapoteza vitu vyao huko maana huyu mzee kwa ufisadi na wizi hajambo.
 
Lowassa anahangaika na front page za magazeti asisahaulike ha ha haaaaa kweli tingatinga noma, kwisha habari yake
Umeona wandishi wa habari hapo? Au ni yale mambo yakwenda kanisani mpaka uambatane na wandishi wa habari
 
Back
Top Bottom