Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

Anaacha kuhangaikia watoto waliounguliwa mabweni anaenda kuuza sura, kashindwa kutatua matatizo akiwa waziri mkuu.
eti watoto waliounguliwa mabweni kwani serikali ikowapi. dah umenikumbusha au kwa vile serikali ina maraisi wawili mtawala na kiongozi
 
Policcm wangemkataza tena maana wanamihemko sana kumuogopa EL kila anapoenda wanamzuia!! Ipo siku watamkataza hata kwenda kanisani! Wanaogopa maana ana maono makubwa na anakubalika mno! Wanaogopa kivuli chake kila aendapo!!
Tangulini police wakaogopa mtu asie na meno......... Sumu hana
 
Hivi, yeye na marafiki zake wamechangia madawati mangapi?
wachangie za nini elimu siyo madawati,elimu ni walimu na vitabu, madawati ni kipengele kidogo sana,badala muimarishe maslahi ya walimu mnahangaika madawati,mbona sisi tulipata madivisheni one chini ya miti
 
Ila hana meno meno yakudhuru hana........
Nimezungumzia uvaaji wake,mengine yapo constant,ametupia kichizi,ofcourse anatofautiana na Yule mwingine(mvaa suti kubwakubwa)kama mashariki na magharibi! Btw meno yaume yasiume haihusiani na nilichoandika
 
Leo tarehe 7/8/2016, Aliyekuwa waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania *Mh. Edward Ngoyai Lowassa* (Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CHADEMA) alitembelea maonesho ya nanenane mkoani Morogoro; Kuangalia, Kusikiliza na kushauriana na Wakulima mbalimbali juu ya changamoto za kilimo.

Mheshimiwa Edward Lowassa atakua huko kwa siku mbilimbili kwa ajili ya shughuli hiyo.
Kinya kimya.ndio style ya kisasa.baba waenyeshe .na kaka lisu
 
Nimezungumzia uvaaji wake,mengine yapo constant,ametupia kichizi,ofcourse anatofautiana na Yule mwingine(mvaa suti kubwakubwa)kama mashariki na magharibi! Btw meno yaume yasiume haihusiani na nilichoandika
Meno namanisha hana......
 
Back
Top Bottom