Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

Kwani ana shida gani? Umaskini aliuga zamani. Wengine nguo wamezijua baada ya kupata vyeo. Anavaa kimjini aakati wengine nguo zinafunika mbaya, hata mwisho wa mkono hauonekani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi viatu pia vinafunikwa.
 
Bigonzo! Mbona mnaweweseka sana na huyu Mzee Lowassa?

Aliyekutangulia kakutangulia tu

Ni mtanzania, anahaki ya kwenda kokote na kuishi kokote

Tupunguze ujuhaa
 
Kuogoza Nyumbu hadi raha , unawaletea maigizo ya kushika UKUTA ili wakuachie nafasi ujigawie ruzuku ya chama hovyo.

Chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu.

Wizi mtupu.
vp ccm mpaka leo mmelipa waandishi wa habari waliopiga kazi nanyi wakati wa kampeni????
 
Hakuna kitu cha muhimu km kuwajulia hali wazazi. Maandiko yanasema mheshimu baba na mama upate baraka na maisha marefu duniani. Ni kitabu gani cha dini kinasema jipendekeze kwa watu ili upate baraka?
mbona wazazi wa mkulu walishatangulia mbele za haki au anawazazi wa nne??
 
Hahahah hamna Lowasa ana mapigo fulani ya kicowboy ndio nikasema hayo ni mapigo yangu ,yaani huwezi sijui kunivalisha Jordans badala ya Travolta au Stacy Adams ,mkuu mmoja akaniambia nimemuiga kumbe na yeye hayo ni mapigo yake ndio nikakiri wacha tu nikuige siwezi badilisha style .......huyo wa koti la draft kwa kweli utanisamehe mapigo yake hata nishikiwe bunduki siwezi
makoti ya draft ni mapigo ya wasukuma
 
1470797133288.jpg
 
Back
Top Bottom