Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

Edward Lowassa Atembelea Maonyesho ya Nane Nane Morogoro

Kuogoza Nyumbu hadi raha , unawaletea maigizo ya kushika UKUTA ili wakuachie nafasi ujigawie ruzuku ya chama hovyo.

Chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu.

Wizi mtupu.
 
Leo tarehe 7/8/2016, Aliyekuwa waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania *Mh. Edward Ngoyai Lowassa* (Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CHADEMA) alitembelea maonesho ya nanenane mkoani Morogoro; Kuangalia, Kusikiliza na kushauriana na Wakulima mbalimbali juu ya changamoto za kilimo.

Mheshimiwa Edward Lowassa atakua huko kwa siku mbilimbili kwa ajili ya shughuli hiyo.

Mzee si anadegree ya maigizo poa poa
 
Ile ya kuongea na wafabiashara kipindi anaenda kununnua maitaji yake ilikuaje ?
 
Kuogoza Nyumbu hadi raha , unawaletea maigizo ya kushika UKUTA ili wakuachie nafasi ujigawie ruzuku ya chama hovyo.

Chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu.

Wizi mtupu.
Mizuka bana teh..teh.. futuhi
 
Kuogoza Nyumbu hadi raha , unawaletea maigizo ya kushika UKUTA ili wakuachie nafasi ujigawie ruzuku ya chama hovyo.

Chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu.

Wizi mtupu.
Maajabu sana, yaani Lowasa atakuwa kwenye maonyesho kwa muda wa siku mbili? Kweli PM mstaafu amechuja.
 
Safi, amemfunika yule anayependa kutembelea chato.
Hakuna kitu cha muhimu km kuwajulia hali wazazi. Maandiko yanasema mheshimu baba na mama upate baraka na maisha marefu duniani. Ni kitabu gani cha dini kinasema jipendekeze kwa watu ili upate baraka?
 
Wew bwana cjui haraka ya wapi...#nene nane# ndo nin...huyo lowassa kuna kitu kawapa hawa vijana sio viloba tuu kuna kingine sio bure
Na wewe kuna kitu umepewa uko lumumba si bure viloba ndo kitu gani dagaaa wewe
 
Back
Top Bottom