BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Sidhani kama katiba yao inaruhusu wasio Wakenya washiriki kwenye kampeni za chaguzi zao. Nilikuwa nataka Uhuru ashinde pamoja na mapungufu yake kama binadamu au kiongozi. Hili limeshampa Raila sababu za kupinga matokeo kama hatashinda na sababu chungu nzima za yaliyojiri kwenye hizi kampeni na yatakayojiri siku ya uchaguzi.
Nahisi damu kumwagika tena kwa wingi, na imeshaanza kumwagika. Chaguzi zetu nyingi za Africa ni lazima damu zimwagike. Hongera sana kwa Ghana.
Nahisi damu kumwagika tena kwa wingi, na imeshaanza kumwagika. Chaguzi zetu nyingi za Africa ni lazima damu zimwagike. Hongera sana kwa Ghana.
Atakuwa ameenda pale kwa mwaliko. Issue za ukabila Kenya, Uhuru alienda kwenye kampeni maeneo ya wamasai kuomba kura. Si unajuwa Masai ya Kenya na Tanzania ni moja?
Atakuwa amealikwa kwasababu ni Laigwanani wa Masai yote east africa. Kwahiyo ndo anayesikilizwa zaidi since ndo kiongozi wao mkuu. Wamasai wanawasikiliza sana viongozi wao malaigwanan. Kama Kenyatta alitaka kura za hao wamasai, basi mtu sahihi wa kumtumia ni Laigwanani wao.