Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Sidhani kama katiba yao inaruhusu wasio Wakenya washiriki kwenye kampeni za chaguzi zao. Nilikuwa nataka Uhuru ashinde pamoja na mapungufu yake kama binadamu au kiongozi. Hili limeshampa Raila sababu za kupinga matokeo kama hatashinda na sababu chungu nzima za yaliyojiri kwenye hizi kampeni na yatakayojiri siku ya uchaguzi.

Nahisi damu kumwagika tena kwa wingi, na imeshaanza kumwagika. Chaguzi zetu nyingi za Africa ni lazima damu zimwagike. Hongera sana kwa Ghana.
Nani amesema atapinga matokeo kama hatashinda? Uhuru? Please make sure hauamini hearsays.

Kwa upande mwingine, ni kweli kuna mambo tata yametokea during campaign, mojawapo kubwa ni mauwaji ya Christopher Chenge Musando. Definitely a dent on the current regime. Sijui nani atanufaika na kifo hicho, but wengi wanapeleka lawama kwa Kenyatta.

Pia hapo kwenye katiba yao kutoruhusu mtu asiye mkenya kushiriki kampeni, sina uhakika nalo.

Ila nilicho na uhakika nacho, ni kwamba jamii ya wamasai wa east Africa haina mipaka. Wamasai wa Kenya na Watz ni hao hao, hiyo mipaka iliwaathiri toka wakoloni walipoigawa Afrika, ila bado ni jamii moja. Ndo maana unaskia Lowassa aliposema kuhusu kutozuia wamasai kwenye mpaka wa Namanga.

Kiuhalisia, jamii ya wamasai haina mipaka east Africa. Pia imetokea kwamba Lowassa ndiye Laigwanan wa wa wamasai wa east Africa. Sijui alichaguliwa lini, lakini hata mimi leo ndo nimejuwa ni laigwanani wao.

Kwa jinsi ninavyowafahamu wamasai, wanamsikiliza sana kiongozi wao mkuu ambaye ndo Laigwanani. Atakachosema wanafuata bila shurti, ndivyo navyowafahamu wamasai.

Kwa jinsi ninavyowafahamu wakenya, huwezi kwenda sehemu kuomba kura bila kumtafuta kiongozi wa eneo hilo. Na mara zote kiongozi wa eneo husika hutokana na kabila lililopo eneo hilo.

Imetokea kuwa kiongozi wa kabila hilo la wamasai ambalo ni maarufu maeneo ya mipakani ni mtanzania.

Lakini pia Uhuru Kenyatta akitaka kuongea na hao wamasai, lazima atumie kiongozi wao, na kiongozi wao ndo Lowasssa. Sidhani kama "alitumia siasa tu", ndo maana hakuenda naye kwa wajaluo ama Wakisii kuomba kura.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nani amesema atapinga matokeo kama hatashinda? Uhuru? Please make sure hauamini hearsays.

Kwa upande mwingine, ni kweli kuna mambo tata yametokea during campaign, mojawapo kubwa ni mauwaji ya Christopher Chenge Musando. Definitely a dent on the current regime. Sijui nani atanufaika na kifo hicho, but wengi wanapeleka lawama kwa Kenyatta.

Pia hapo kwenye katiba yao kutoruhusu mtu asiye mkenya kushiriki kampeni, sina uhakika nalo.

Ila nilicho na uhakika nacho, ni kwamba jamii ya wamasai wa east Africa haina mipaka. Wamasai wa Kenya na Watz ni hao hao, hiyo mipaka iliwaathiri toka wakoloni walipoigawa Afrika, ila bado ni jamii moja. Ndo maana unaskia Lowassa aliposema kuhusu kutozuia wamasai kwenye mpaka wa Namanga.

Kiuhalisia, jamii ya wamasai haina mipaka east Africa. Pia imetokea kwamba Lowassa ndiye Laigwanan wa wa wamasai wa east Africa. Sijui alichaguliwa lini, lakini hata mimi leo ndo nimejuwa ni laigwanani wao.

Kwa jinsi ninavyowafahamu wamasai, wanamsikiliza sana kiongozi wao mkuu ambaye ndo Laigwanani. Atakachosema wanafuata bila shurti, ndivyo navyowafahamu wamasai.

Kwa jinsi mavyofahamu wakenya, huwezi kwenda sehemu kuomba kura bila kumtafuta kiongozi wao. Na mara zote kiongozi wa eneo husika hutokana na kabila lililopo eneo hilo. Imetokea kuwa ni mtanzania, lakini akitaka kuongea na hao wamasai, lazima atumie kiongozi wao, na kiongozi wao ndo Lowasssa. Sidhani alitumia siasa tu, ndo maana haajenda naye kwa wajaluo ama Wakili kuomba kura.

Hakuna nchi inayoruhusu internal affairs kuingiliwa na watu wa nje. Nafikiri
 
  • Thanks
Reactions: BAK
tribalism is eating kenyans

susi eiluma mwene bhulili
 
Hapa kwetu kuna tukio alishawahi hudhuria balozi wa china. Jamaa wa Chadema walilia kwa miaka mitano mfululizo.

Lakini lowasa akishiriki huko kenya ni sawa .

Huu unafiki wa Chadema ni mbaya sana. unapaswa kukemewa.
 
hizo alizofanya jamaa hapo juu ni affairs za wakenya, to influence election results. Methinks.
Fuatilia historia ya wamasai utafahamu vyema. Shida ni siasa za Kenya zenye mrengo wa kikabila. Ukitaka kura za wakamba, lazima uongee na kiongozi wa wakamba. Same with Wakisii, Kaleinjin, maasai, luo etc
 
Historia haina nafasi ktk externa force a foreigner ku influence elections in another country. It's against the international law, Methinks.

Hata wakifuata katiba naamini kabisa hii ishakua null and void kwa katiba yao wenyewe.
 
Nimeshangaa sana kwa mzee huyu kuamua kusafiri kwenda Kenya kuingilia uchaguzi wa wakenya....

Mimi naona badala ya kujiimarisha,anajimaliza kisisa.

Ni hatari sana kisiasa kuonesha wewe ni adui na unashiriki kudidimiza upinzani wa nchi nyingine.....

Chukulia kenya,8/8 ondinga akachaguliwa!!
..
haoni kuwa upinzani wa Tanzania utadumaa zaidi!,?maana hawatakuwa na sehemu yakukimbilia east afrika yote.

Tuhuma zake za hapa tanzania,pia wakenya wanazijua.....wataona kuwa kumbe na uhuru naye yupo kama lowasa...!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia haina nafasi ktk externa force a foreigner ku influence elections in another country. It's against the international law, Methinks.

Hata wakifuata katiba naamini kabisa hii ishakua null and void kwa katiba yao wenyewe.
Eti against international law. Unafahamu unachoongea au unaleta ligi tu...I rest my case
 
Uhuru Kenyatta akirudi ikulu, sijui urafiki wetu na wakenya utakuwa wa kinafiki, uhuru yule jamaa hamaindi unafiki,

Hapa ndiyo elimu ya Agustine Mahinga itakapo tumika kurudisha uhusiano imara kati ya Tanzania na Kenya..
 
Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.

Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.

Disgraceful!!

Upo sahihi kabisa, this is beyond madness. Yasije yakatokea ya Trump na Putin
 
Back
Top Bottom