Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Kenyatta akichukua tena nchi sijui hizi nchi mbili zitakuwa na uhusiano wa namna gani maana naona Kenyatta kaamua kuonesha wazi kuwa yupo na mpinzani wa Magu
Nadhani umeangalia upande mmoja Mkuu.

Bwana Yule ndiyo alianza kuonyesha kuunga mkono upinzani wa serikali ya Kenya.
KWA HAKIKA LILIKUWA NI KOSA KUBWA SANA LA KIUFUNDI.

Ila kwa sababu HAKOSOLEKI, tutegemee gharama za kosa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi inaruhusiwa kushiriki kwenye siasa za nchi nyingine? Leo Obama atie timu Kenya kumpigia chapuo Uhuru huu uchaguzi si utaingia dosari kubwa sana!?
Atakuwa ameenda pale kwa mwaliko. Issue za ukabila Kenya, Uhuru alienda kwenye kampeni maeneo ya wamasai kuomba kura. Si unajuwa Masai ya Kenya na Tanzania ni moja?

Atakuwa amealikwa kwasababu ni Laigwanani wa Masai yote east africa. Kwahiyo ndo anayesikilizwa zaidi since ndo kiongozi wao mkuu. Wamasai wanawasikiliza sana viongozi wao malaigwanan. Kama Kenyatta alitaka kura za hao wamasai, basi mtu sahihi wa kumtumia ni Laigwanani wao.
 
Up to this moment, there is no any presidential candidate in Kenya election who can be able to attain 51% of the total votes, there is a high chance of repeating election. Kenyatta's gambling strategy of inviting EL as his political reinforcement, it might bring a landslide defeat to him. My friends, time will tell.
 
Upuuzi huu ni kwa Kenya tu...sisi hapa Tanzania haturuhusu na sijawahi ona mgeni kwenye jukwaa za kisiasa.
Wewe unaishi wapi? Ile picha maarufu ya Balozi wa China ndani ya nguo za CCM kwenye mkutano wa kampeni wa CCM, hujawahi kuona?
 
Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.

Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.

Disgraceful!!
Tena awamu hii hali ni tete Uhuru akipita tutakuwa na uhusiano mbaya sana, kitendo cha Odinga kukiri kuwa wanakituo cha kuhesabia kura tz.
 
Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.

Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.

Disgraceful!!
Ile ya JPM haikua ishu sana, tatizo ni sasa hivi kwasababu mtu makini kama Lowassa kutojua kwamba kuwa na upande katika siasa za majirani ni kitu kibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom