Ok ,.,,,kumbe ndio maana....kijiji kipya cha jangwani chadema 147 na ccm 124
Wenye upeo mpana kwasasa hatuzungumzii haya matokeo ya mtaa momoja mmoja yakiwa tayari yote tukutane hapa hapa jf.
Kwa vile namfahamu Liongo kama mwanabari nguli, I doubt uzi huu kama unakweli wa dhati!.Kutoka kwa mwandishi wa Lowassa Abubakary Liongo ametuma taarifa kwa vyombo vya habari kuwa Monduli CCM imeshinda kwa aslimia 100 na anataka dunia iamini hivyo ,eti Monduli ni kama Kilindi, na hilo ni jambo la uongo wa dhahiri kwani anajua wazi kuwa maeneo yafuatayo CCM imeshindwa ;
1. Kitongoji cha Kambi ya Mkaa CCM 13 na CHADEMA 27
2. Loswira Kitongoji , CCM 34 na CHADEMA 56 tena hapa alishinda mlemAvu .
3. Kijiji cha Mgombani CHADEMA imeshinda Vitongoji vinne ...
4. Kijiji cha NANJA CCM IMeshindwa .....
liongo njoo upinge ukweli huu ndipo wahahriri watumie story yako kesho ........
Liongo ...katuma press statement kwenye news room zote .......Hiyo propaganda kaifanyia wapi?.....kwani sii ni ukweli monduli ccm imeshinda vijiji vyote 64 kasoro wajumbe wawili tu, kitu ambacho kinafanya matokeo ya jumla kuwa almost 99%
Pasco , piga simu newsroom zote kama una contact , then urejee hapa ......Kwa vile namfahamu Liongo kama mwanabari nguli, I doubt uzi huu kama unakweli wa dhati!.
Pasco
Pole kwa kazi za siku nzima za kulijenga taifa kupitia JF.
Kesho naomba uende kwenye kazi halali kwani ni uzalendo ulipe kodi. kumbuka nchi inajengwa kwa kufanya kazi na sio kushinda hapa jukwani ukitetea wizi na wezi wa kodi zetu.
Nyinyi ndio chanzo cha nchi yetu kuwa ombaomba kwa wazungu sijui MCC nk. Ulizoea kuwa kishoka kwenye ofisi za serekali kuwasaidia watu mambo yao yaende kwa haraka eti wanatoka mikoani wasikae sana. Sasa ulipaji kwa njia ya mtandao unaingia nchini kwa umri huo usipojirekebisha utakuwa ombaomba uzeeni na kuishia kuacha laana kwa watoto na wajukuu kumbe ulimalizia nguvu kazi hapa JF.
Kwa vile namfahamu Liongo kama mwanabari nguli, I doubt uzi huu kama unakweli wa dhati!.
Pasco
We chalii, weka na matokeo ya CCM kwa Monduli yote.
ukawa hoyeeeeee!!!!
Liongo ...katuma press statement kwenye news room zote .......