Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

EL anachotakiwa kufahamu ni kuwa tunamhitaji yeye kuwa rais na sio chama chake. kwahiyo asituchefue na chama chake hapa.
 
Kuna wa/mpambe wake hapa jukwaani nimemchana bosi wao wameshia kutukana na wala hakuna aliyejenga hoja. Nimewauliza mbunge sio mfadhili, hebu watuambie inakuwaje huyo Lowassa anaweza kwenda misikitin/ makanisani akaweza kutoa hotuba ambayo haulizwi swali lolote lakini hawezi kuchangia chochote huku bungeni ambako ndio majukumu yake yalipo. Kama anaweza kuhutubia kanisani/msikitini kwanini asiwe sheikh au mchungaji anataka kuwa rais. Ndugu ungesikia majibu ya watu anaowalipa kumtetea hapa jukwaani mbona ungechoka. Wameishia kutukana na kukashifu.

Sikuishia hapo nikawaomba wataje mambo matano ya uhakika kwanini tumpe urais hakuna aliyerudi mpaka sasa!! Toka nimemuona alivyopoteza madaraka kwa sakata la richmond nilimsikia siku moja tu akichangia bungeni eti nchi ichukue maamuzi magumu, eti wakatokea wabunge wasiojitambua wakimshangilia rais rais!! Nikauliza mbona juzi tumeshuhudia sakata la escrow hadharani hatukumuona akichangia lolote tuliishia kuwaona akina Lisu, Zitto, Mnyika, Mdee, Simbachawene na hata huyo Chenge. Yeye msimamo wake ulikuwa upi ni pesa za umma au za IPTL. Sasa najiuliza ubora wake uko kwenye nini. Au yeye ni tajiri hivyo tumpe urais kwakuwa wanamlamba miguu wamesema.

Nasema tusipoangalia tutampa nchi hii mmoja wa viongozi wa mtandao wa kiongozi aliyeko juuambaye kaifikisha nchi kwenye kuweza kuingia mikataba zaidi ya kumi na sita kwa mpigo bila wananchi au bunge basi kujua nini kipo ndani bali genge lake tu. Na kwa bahati mbaya sana tunapewa sifa zilezile za kijinga kwamba ni mchapa kazi lakini uchapa kazi wake haufafanuliwi bali watu wanapewa pesa wanakuja kusema ni mchapa kazi. Sifa hizihizi ndio tuliambiwa tuchague rais kijana ambaye picha yake itapendeza kwenye noti. Kweli watanzania tuko tayari tena kutoa uongozi kwa kiongozi ambaye sifa zake ni za uchochoroni tena kwa nguvu ya pesa?

hayo maswali ungemuuliza EL mwenyewe na sio wapambe wake. Angeshindwa kukujibu EL mwenyewe hapo ningeelewa hoja yako.
 
simple logic maswali ya baba haulizwi mtoto
 
U dictator wa Lowasa .. Nawahakikishieni .. Tutamkubuka JK .. !

Kama JK katufikisha hapa .. sihitaji kuongea zaidi

ILA ..

Kaa mbali na hiyo Chama Yao.

Na zaidi

Kaaambalii kabisa na EL asiye na nguvu ya hoja ... ila nguvu ya pesa ... ! Hafai ndani ya chama chake au Nje ya chama hicho. Na Ukweli .. sio Rais Wa wa 5 wa Taifa Hili.
 
Acheni chuki dhidi ya Lowassa issue hapa ni kwamba vijiji vyote 62 Monduli CCM wameshinda! Uongo wa Lowassa uko wapi hapa. Tunachotakiwa kufanya UKAWA ni kuwa cha matusi na Propaganda lakini tujitahidi kubuni mbinu za kukabiliana na huyu bwana.

Nilikuwa kwenye mitaa na baadhi ya vijiji wakati uchaguzi ulipokuwa ukiendelea nilibahatika pia kutembelea mikoa mitatu watu walikuwa wakiwaponda Sana CCM na kumpongeza Lowassa nilishangaa kidogo lakini wazo likanijia kuwa ili kupata viongozi sahihi mkondo wa democrasia ufuatwe wagombea waachiwe wapiga kura waamue na wanamtaka.

Nilichobaini katika uchaguzi huu pia ni kwamba CCM watapoteza vingi sana vya ubunge. Vilevile kura za maoni za katiba mpya ni msiba mwingine Kwa CCM na itakuwa msiba mkubwa kweli. Uchaguzi mkuu pia iwapo wataleta mizengwe kwenye kura za maoni kupinga wagombea wasiowataka wataumia kweli. UKAWA mshikamano daima tumepata upenyo.
 
Niliandika hapa, Pasco umeona Liongo wako uliyesema ni mweledi?
 
hayo maswali ungemuuliza EL mwenyewe na sio wapambe wake. Angeshindwa kukujibu EL mwenyewe hapo ningeelewa hoja yako.

Duu, umejibu kwa jazba kwamba angejibu EL kama ndio ningemuuliza. Ni kweli ila hajaja yeye hapa jukwaani katuma wapambe wake. Sasa nilichofanya nikuwauliza wakamuulize, kilichonishangaza hawajarudi ila wewe umejipa jukumu la kuwajibia wapambe wake. Unaonaje ukiwaacha wakaja kujibu au wakamwambia kuna maswali tumemuuliza wao hawana majibu kwahiyo aje mwenyewe.
 
el anachotakiwa kufahamu ni kuwa tunamhitaji yeye kuwa rais na sio chama chake. Kwahiyo asituchefue na chama chake hapa.

usiseme tunamhitaji, km unamhitaji wewe sema namhitaji, ki hiyo takataka sitaki hata kuzisikia slaa atosha
 
Pamoja na ukweli mchungu kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa unaashiria anguko la ccm miaka michache ijayo.,lakini LOWASA LAZIMA AWE RAIS MWAKANI.
 
Niko na wewe mkuu.UKAWA wasipo kuwa makini efforts zao zote za kuwakomboa Watanzania kutoka kwenye makucha ya watu hawa zitakuwa useless.Nao wawe na figures zao ili waweze ku-challenge matokeo yatakayotangazwa.
Hata Tamisemi wanajiandaa kutangaza matokeo ya uongo ya jumla, nawashauri ukawa nao watafute matokeo na tathmini ya jumla ili wananchi wajue ukweli
 
Pamoja na ukweli mchungu kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa unaashiria anguko la ccm miaka michache ijayo.,lakini LOWASA LAZIMA AWE RAIS MWAKANI.

Kwa nini usimchague awe RAIS wa familia yako?
 
We chalii, weka na matokeo ya CCM kwa Monduli yote.

kazi ya mleta thread ni kuwa ccm haikushinda kwa %100. hata ingekuwa kitongoji kimoja tu kimechukuliwa na cdm. tayari asilimia mia moja inakuwa haipo.
 
jamaa mgonjwa uso umeshuka nusu.
Pili ni mmoja kati ya wezi wazoefu.
Sasa kama Lowassa ni people sana na upambe juu, basi si bora tumchague Rostamu Aziz tujue moja.
Mkiuza nchi msiuze nusu uza yote na vyote vilivyomo.

Kuna wa/mpambe wake hapa jukwaani nimemchana bosi wao wameshia kutukana na wala hakuna aliyejenga hoja. Nimewauliza mbunge sio mfadhili, hebu watuambie inakuwaje huyo Lowassa anaweza kwenda misikitin/ makanisani akaweza kutoa hotuba ambayo haulizwi swali lolote lakini hawezi kuchangia chochote huku bungeni ambako ndio majukumu yake yalipo. Kama anaweza kuhutubia kanisani/msikitini kwanini asiwe sheikh au mchungaji anataka kuwa rais. Ndugu ungesikia majibu ya watu anaowalipa kumtetea hapa jukwaani mbona ungechoka. Wameishia kutukana na kukashifu.

Sikuishia hapo nikawaomba wataje mambo matano ya uhakika kwanini tumpe urais hakuna aliyerudi mpaka sasa!! Toka nimemuona alivyopoteza madaraka kwa sakata la richmond nilimsikia siku moja tu akichangia bungeni eti nchi ichukue maamuzi magumu, eti wakatokea wabunge wasiojitambua wakimshangilia rais rais!! Nikauliza mbona juzi tumeshuhudia sakata la escrow hadharani hatukumuona akichangia lolote tuliishia kuwaona akina Lisu, Zitto, Mnyika, Mdee, Simbachawene na hata huyo Chenge. Yeye msimamo wake ulikuwa upi ni pesa za umma au za IPTL. Sasa najiuliza ubora wake uko kwenye nini. Au yeye ni tajiri hivyo tumpe urais kwakuwa wanamlamba miguu wamesema.

Nasema tusipoangalia tutampa nchi hii mmoja wa viongozi wa mtandao wa kiongozi aliyeko juuambaye kaifikisha nchi kwenye kuweza kuingia mikataba zaidi ya kumi na sita kwa mpigo bila wananchi au bunge basi kujua nini kipo ndani bali genge lake tu. Na kwa bahati mbaya sana tunapewa sifa zilezile za kijinga kwamba ni mchapa kazi lakini uchapa kazi wake haufafanuliwi bali watu wanapewa pesa wanakuja kusema ni mchapa kazi. Sifa hizihizi ndio tuliambiwa tuchague rais kijana ambaye picha yake itapendeza kwenye noti. Kweli watanzania tuko tayari tena kutoa uongozi kwa kiongozi ambaye sifa zake ni za uchochoroni tena kwa nguvu ya pesa?
 
We chalii, weka na matokeo ya CCM kwa Monduli yote.

Faiza pole sana maana mtaa unaongozwa na UKAWA kwa sasa hivyo usiogope kuhoji mapato na matumizi, ha hata zile elfu 5 walizokuwa wanakutoza viongozi wa CCM wa mtaa wako kila ulipotaka ugongewe muhuri hakuna tena kwasasa huduma bure.
 
Wa kwangu hawezi,wala kwa FAMILIA yangu,mpe pole sana za kuugua vinginevyo,RAIS wangu bado hajateuliwa na Mungu

Lowasa ameteuliwa na Mungu kuwa Rais Wa Tanzania kupitia kwa Mtumishi wa Mungu TB JOSHUA.
 
Back
Top Bottom