min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,287
- 130,505
Sio mingi sana na sio michache kama alivyotajaNi mingi sana?
Sio mingi sana na sio michache kama alivyotajaNi mingi sana?
Wee chawa lazima wassira mlicheza wote utotoni!
kwan wewe pia ulicheza nadr.livingstone?Wee chawa lazima wassira mlicheza wote utotoni!
Umekosea ni 64.
mule mule maaana unaongeaga vitu vilivostaafu sanaUmekosea ni 64.
Shindii acha zako😅
Tumesema tubashiri. Ila uhalisia itakua pungufu 🤣🤣🤣Kwamba mimi 31😅😅😅
Changamka sasa mjusiHuyo wa 26 bado analipa, wakulungwa wenzengu kumbe kunanyama mbichi humu.
Vipi mingi sana?Shindii acha zako😅
Nikifikisha 70 sijui itakuwaje.mule mule maaana unaongeaga vitu vilivostaafu sana
Mapema sana ngoja nikamchungulie kule sanduku la siri.Changamka sasa mjusi
Sijasema shindii wewe ndio unabuni tu hapoVipi mingi sana?
tena hapo 31 umenipendelea mno mimi na 19 fake pTumesema tubashiri. Ila uhalisia itakua pungufu 🤣🤣🤣
Tulewe tu hakuna namna bwasheebwashee huyu ATAKUWA FUNDI MAJENEZA MUNGU ANISAMEHE MPWAA
hizi Pombe za weekend tuanze kunywa kwa password mpwaa
uchelewi imbiwaaa kale.kawimbi ketuuu ka huzunii
I love you babe😅😅😍