Earphone fake zinavuruga sana

Earphone fake zinavuruga sana

Tafuta earphone zinaitwa. MI izo ni balaa mkuu
4a56a72b6c9a7c2cd3ace0cc8b5feb13.jpg

Swadakta mkuu, ila hapa bongo bei yake kubwa sana bora niagize mtandaoni.
 
99% ya earphone za xiaomi bongo ni fake,

kama unataka earphone nzuri original unazipata kwa around 5000, hizi zinakuja na samsung kitochi (Guru), wanazichomoa wanaziuza aggrey. zipo kama hivi

31WoIxIZ-5L._SY400_FMwebp_.jpg
 
Kumbe hadi Xiaomi zipo fake?, ila mm nina uhakika na zile ninazo nunua www.gearbest.com online ni original 100%
 
Mkuu hata mimi nilipata tatizo kama hili lako, kununua ma feki haya ya kariakoo na kusikiliza mchele na inakera Sema ukweli.

Kama unaweza kuagiza ningekushauri ununue headphones zinazoitwa Rock Zircon, ni nzuri sana sana sana hadi huwezi amini bei yake. Bass A+, Mids A+, Comfort A+ huwezi kukosea na zinauzwa 21,000 AliExpress. Kuna nyimbo zimo kwenye simu yangu tokea 2009 lakini hivi majuzi ndio nimesikia vikorombwezo amabvyo haya ma earphone hayawezi produce. Hizi headphones ni nzuri to the point mpinzani wake ni headphones za 200,000+ kwa sasa nina headphones za Jaybird lakini huwa nazirudia hizi mara kwa mara.

7255f0feeb5113d0bba7e3f4b5f645d7.jpg

Reviews zake hizi hapa utaona hata headphones za xiaomi hazioni ndani, ukiwa unataka kujua ubora wa headphones za kichina uwe unapitia hii website utajifunza mambo mengi sana. Review: ROCK Zircon (RAU0501) - AudioBudget

4f71b711f9d9b51b7747cc02f7b8d261.jpg

Video review hii hapa

Headphones nyingine ambazo nazi kubali na ni bei ndogo ni hizi hapa KZ ATE sema kama unapenda nyimbo zenye bass kama hip hop nunua nilizo kushauri Mwanzo.

5964b39cb97016133b51f4da70b2eda7.jpg
 
Mkuu umewai kutumia hizi? Xiaomi piston fresh edition. Ni hatari sana zina clear sound haziumizi maskio. Mm nilishaacha kununua earphone za hapa bongo maana nyingi ni low quality. Zinaumiza masikio tu.
c38abca1b33754354896260c02d70945.jpg
09c0af71e5eae46c03122850a5d4d2d4.jpg
 
Mkuu hata mimi nilipata tatizo kama hili lako, kununua ma feki haya ya kariakoo na kusikiliza mchele na inakera Sema ukweli.

Kama unaweza kuagiza ningekushauri ununue headphones zinazoitwa Rock Zircon, ni nzuri sana sana sana hadi huwezi amini bei yake. Bass A+, Mids A+, Comfort A+ huwezi kukosea na zinauzwa 21,000 AliExpress. Kuna nyimbo zimo kwenye simu yangu tokea 2009 lakini hivi majuzi ndio nimesikia vikorombwezo amabvyo haya ma earphone hayawezi produce. Hizi headphones ni nzuri to the point mpinzani wake ni headphones za 200,000+ kwa sasa nina headphones za Jaybird lakini huwa nazirudia hizi mara kwa mara.

7255f0feeb5113d0bba7e3f4b5f645d7.jpg

Reviews zake hizi hapa utaona hata headphones za xiaomi hazioni ndani, ukiwa unataka kujua ubora wa headphones za kichina uwe unapitia hii website utajifunza mambo mengi sana. Review: ROCK Zircon (RAU0501) - AudioBudget

4f71b711f9d9b51b7747cc02f7b8d261.jpg

Video review hii hapa

Headphones nyingine ambazo nazi kubali na ni bei ndogo ni hizi hapa KZ ATE sema kama unapenda nyimbo zenye bass kama hip hop nunua nilizo kushauri Mwanzo.

5964b39cb97016133b51f4da70b2eda7.jpg

sidhani kama hizo earphone ni zaidi ya Hybrid IEM za xiaomi/1more (zamani zilijulikana kama piston), naona reddit na forums mbalimbali watu wanaprefer za xiaomi zaidi. umewahi tumia piston version ya karibuni?
 
Back
Top Bottom