Hahahah ndo hayo hayo matamu balaa kila kitu mazoea. Mimi bibi yangu hali samaki anafananisha na nyoka anasema.Tobaaaaah kule kwetu tunaita "mawungu" yaan mabungu makubwa meusi yanakua kwenye magome ya miti mmmmmh
Nimehisi kutapika khaaaaah
Jamani wee ni mchafu khaaa, unakula nyama ya chatu mmmh.Hahahah ndo hayo hayo matamu balaa kila kitu mazoea. Mimi bibi yangu hali samaki anafananisha na nyoka anasema.
Na akikuona unakula anatapika kabisa hajawahi kula toka azaliwe mpk leo hii ana miaka zaid ya 100 yaan huwez mshawishi kabisa. Hapo ndo nilijifunza kila kitu kisicho sumu kinaliwa aisee ni mazoea tu
Kuna Uzi niliwasimulia watu kuwa nilikula nyama ya chatu ujanani ikaninogea na mpaka leo naimiss ila sasa chatu siwapati huku mjini. Ila nyama yake tamu balaa ya kuku ikasome
"mawungu" mkuu utakuwa mwenyeji wa kusini maana hilo jina nililisikia pande hizo.Tobaaaaah kule kwetu tunaita "mawungu" yaan mabungu makubwa meusi yanakua kwenye magome ya miti mmmmmh
Nimehisi kutapika khaaaaah
Mbona tunagonga kumbikumbi na senene.Du! Kabisa???
Tanzania hatujafikia njaa ya kula wadudu kama nchi za West Africa na Jamhuri ya Kidemokrasi ya watu wa Congo... Hiyo hapana aiseee!
kuna kabila la wanyiha na wanyamwanga huko songwe wanakula sana hii kitu"mawungu" mkuu utakuwa mwenyeji wa kusini maana hilo jina nililisikia pande hizo.
ipo siku nitajaribu coz wanasema ni watamu sana.🏃♂️kuna kabila la wanyiha na wanyamwanga huko songwe wanakula sana hii kitu
Baada ya kutoka Kanisani msosi wa asiliView attachment 1666323
Siyo mchafu bana,mazoea tuuJamani wee ni mchafu khaaa, unakula nyama ya chatu mmmh.
Watu wana moyo sana.Haiitaji degree kujua icho si chakula aisee, utatafunaje minyoo mbona jaws zitakosa ushirikiano kabisa
Hapana siyo maQatili.., Wao west Africans wametuzidi kila kitengo..(sports,elimu,nguvu,nk)Makalati
Binamu na wewe waeza kula hiyo mboga?Hapana siyo maQatili.., Wao west Africans wametuzidi kila kitengo..(sports,elimu,nguvu,nk)
Wanakula vyakula vya sina nyingi...