Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,980
- 22,454
nimeshindwa hata kumeza mate, duh haya madudu ukiyaona kwenye miti ya maembe utajua tu walioanza kuyala ilikuwa ni jamii iliyokutana na njaa sana.
ukiyala hayo yanga inachukua kombe mapinduzi na ligi kuuUwiii!! Mbona kama mawasha washa. 🤔
Nilijua nayafananisha basi kwani kuna muembe hapa jirani huwa kuna kipindi yanakuwepo mengi kazi yao kula majani.nimeshindwa hata kumeza mate, duh haya madudu ukiyaona kwenye miti ya maembe utajua tu walioanza kuyala ilikuwa ni jamii iliyokutana na njaa sana.
Doooh!!ukiyala hayo yanga inachukua kombe mapinduzi na ligi kuu
Hahaha... wakati wa janga la njaa... unakula nyamafuBinamu na wewe waeza kula hiyo mboga?
Hahahaaa. Hivyo mpaka wakati wa njaa. LolHahaha... wakati wa janga la njaa... unakula nyamafu
Duuh!! Ahsante ila hapana kwa kweli.Karibu.... Yana urojo mmoja matata sana hapo kwenye tumbo zao
Haya madudu ni Yale yanayodondoka chini miti ya matunda kama mikorosho na miembe sipendi hata kuyaangalia, kumbe wenzetu ni mboga khaaaBaada ya kutoka Kanisani msosi wa asiliView attachment 1666323